Chopa iliyobeba makada wa CCM yaanguka Selous
Na Dennis Luambano, Dar es Salaam
HELIKOPTA iliyobeba makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikitokea Dar es Salaam kwenda Njombe imeanguka ndani ya Pori la Akiba la Selous lililopo eneo la Kilombero mkoani Morogoro.
Akitoa taarifa za ajali hiyo kwa MTANZANIA jana, Meneja wa Selous, Benson Kibonde, alisema helikopta hiyo ilianguka karibu na Mto Ruaha katika Kitalu cha Uwindaji cha R3.
“Ajali hiyo imetokea jana jioni na tulipata taarifa kwa njia ya simu ya satellite kutoka kwa professional...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi16 Oct
Chopa inayosadikiwa kubeba makada wa CCM yaanguka
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Makada CCM wamvaa JK
10 years ago
Mtanzania25 Aug
Makada CCM wamgwaya Pinda
![Waziri Mkuu Mizengo Pinda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Waziri-Mkuu-Mizengo-Pinda.jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutangaza nia ya kujitosa kuwani urais katika Uchaguzi Mkuu 2015, baadhi ya wanachama wa CCM na wasomi wamekuwa na maoni tofauti.
Hali hiyo imekuwa tofauti ambapo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, alishindwa kueleza kwa undani kauli hiyo ya Pinda huku akisema hawezi kuzungumza jambo lolote kwa sasa hadi pale atakapomaliza vikao vya chama.
Akizungumza na MTANZANIA jana kwa njia...
10 years ago
Mwananchi19 Jan
CCM kuwabana makada escrow
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Makada CCM waonya kubebana
BAADHI ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema watamkataa mgombea yeyote wa urais atakayebebwa au kupata upendeleo wa baadhi ya vigogo au kundi lolote kwa maslahi binafsi. Wakizungumza na...
11 years ago
Mwananchi17 Mar
Makada CCM wanusurika kifo
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
CCM yawasulubu makada wake
KAMATI ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imewasulubu makada wake watatu miongoni mwa sita ambao wanatuhumiwa kwenda kinyume cha maadili ya chama hicho tawala. Makada hao ambao baadhi yao...
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
CCM yaanguka Bunge la Katiba
MSIMAMO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutaka kura za maamuzi katika Bunge la Katiba ziwe za siri jana zilipata pigo kubwa baada ya baadhi ya makada wake kuukataa. Juzi wabunge...
9 years ago
Mwananchi11 Oct
Dk Nchimbi awananga makada waliohama CCM