KADA CCM ASIMULIA ALIVYONUSA KIFO!

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mjumbe wa UVCCM-Mkoa wa Morogoro, Hery Francis Hoza akiugulia. Makongoro Oging’ na Issa Mnaly AJALI! Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mjumbe wa UVCCM-Mkoa wa Morogoro, Hery Francis Hoza ,32, (pichani) amepata ajali mbaya katikati ya wiki iliyopita na kunusurika kifo. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Kibaha mkoani Pwani ambapo kada huyo alikuwa akitoka Morogoro kuelekea Dar es...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AHANI KIFO CHA KADA WA CCM
10 years ago
GPL
MSANII BONGO MUVI ALIVYONUSA KIFO!
11 years ago
Dewji Blog18 Apr
Rais Kikwete na Wanafunzi katika Pantoni, ahani Kifo cha Kada wa CCM
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe wakiongea na watoto Samir Juma (fulana nyekundu) na Salum Chumu wakiwa katika pantoni la MV Magogoni wakivuka kuelekea Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 17, 2014. Watoto hao ambao wanasoma darasa la awali katika shule ya msingi ya Bunge, walipata bahati ya kuketi na viongozi hao waliokuwa wakielekea kuhani msiba wa kada wa CCM Marehemu Edward Masanja Ng’hwani maeneo ya Kibada.
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE NA WANAFUNZO KATIKA PANTONI, AHANI KIFO CHA KADA WA CCM

11 years ago
GPL
RAY C ASIMULIA ALIVYOKICHUNGULIA KIFO
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Mkono asimulia alivyonusurika kifo London
11 years ago
Habarileo10 Dec
Aliyemuona Mandela dakika 90 kabla ya kifo asimulia
DAKIKA za mwisho za maisha yake, Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, hakuwa akitumia mashine ya kumsaidia kupumua.
11 years ago
Vijimambo14 Oct
Bwana harusi asimulia walivyonusa kifo ajali ya mtumbwi

Akizungumza na NIPASHE katika mahojiano maalum jana, Hamis alisema baada ya kuona mtumbwi ukizama, alimrukia mkewe na kumshika mkono na kisha kuanza kuogelea naye hadi nchi kavu na hivyo kunusurika kifo.
Kutokana na hali hiyo, anasema anamshukuru Mungu kwa yeye na mkewe, Mariamu (24),...