Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AHANI KIFO CHA KADA WA CCM

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuhani na kutoa heshima za mwisho kwenye msiba wa kada wa CCM na mwenyekiti wa washirika kitaifa mstaafu Marehemu Edward Masanja Ng'hwani maeneo ya Kibada jijini Dar es salaam leo April 17, 2014.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete na Wanafunzi katika Pantoni, ahani Kifo cha Kada wa CCM

f1

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe wakiongea na watoto Samir Juma (fulana nyekundu) na Salum Chumu wakiwa katika pantoni la MV Magogoni wakivuka kuelekea Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 17, 2014. Watoto hao ambao wanasoma darasa la awali katika shule ya msingi ya Bunge, walipata bahati ya kuketi na viongozi hao waliokuwa wakielekea kuhani msiba wa kada wa CCM Marehemu Edward Masanja Ng’hwani maeneo ya Kibada.

f5

f2

f3

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE NA WANAFUNZO KATIKA PANTONI, AHANI KIFO CHA KADA WA CCM

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe wakiongea na watoto Samir Juma (fulana nyekundu) na Salum Chumu wakiwa katika pantoni la MV Magogoni wakivuka kuelekea Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 17, 2014. Watoto hao ambao wanasoma darasa la awali katika shule ya msingi ya Bunge, walipata bahati ya kuketi na viongozi hao waliokuwa wakielekea kuhani msiba wa kada wa CCM Marehemu Edward Masanja Ng'hwani maeneo ya...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA ALIYEKUWA RAIS WA BURUNDI, NKURUNZIZA


 Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi DSM kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Burundi, Nkurunziza, Kikwete amefahamiana na Nkurunzinza kwa zaidi ya miaka 20 tangu wakati wa mazungumzo ya amani ya Burundi.



 

10 years ago

GPL

KADA CCM ASIMULIA ALIVYONUSA KIFO!

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mjumbe wa UVCCM-Mkoa wa Morogoro, Hery Francis Hoza akiugulia. Makongoro Oging’ na Issa Mnaly AJALI! Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mjumbe wa UVCCM-Mkoa wa Morogoro, Hery Francis Hoza ,32, (pichani) amepata ajali mbaya katikati ya wiki iliyopita na kunusurika kifo. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Kibaha mkoani Pwani ambapo kada huyo alikuwa akitoka Morogoro kuelekea Dar es...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Zambia Michael Sata

President-Michael-Sata-view.com_.ng_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameshtushwa na kusononeshwa sana na taarifa za kifo cha Rais wa Jamhuri ya Zambia, Mheshimiwa Michael Chilufya Sata (pichani) ambacho kimetokea jana, Jumanne, Oktoba 28, 2014 kwenye Hospitali ya King Edward VII, London, Uingereza, ambako alikuwa anatibiwa akiwa na umri wa miaka 77.

Katika salamu ambazo amempelekea Makamu wa Rais wa Zambia, Mheshimiwa Dkt. Guy Scott kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete alivyoitabiria kifo CCM

Kwenye mikutano ya hadhara, Rais Jakaya Kikwete huonyesha ujasiri, mbwembwe na kuwapa imani wanachama wa CCM kwamba watashinda Uchaguzi Mkuu ujao, lakini hayo si maneno anayozungumza kwenye vikao na mikutano ya ndani ambako anatakiwa kueleza hali halisi.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA.

 Rais Mstaafu Dkt. Jakaya  Kikwete aomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi Marehemu Pierre Nkurunzinza kwa kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi jana jijini Dar es Salaam.  Dkt. Kikwete amefahamiana na Marehemu Pierre Nkurunzinza kwa zaidi ya miaka 20 tangu wakati wa mazungumzo ya amani ya Burundi wakati huo Rais Kikwete akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Rais Nkurinzinza akiwa kiongozi wa CNDD-FDD na baadae wote wakiwa Marais wa nchi zao.

 

11 years ago

Habarileo

Rais Kikwete aomboleza kifo cha Ng’wanakilala

RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi, kuomboleza kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Mt. Augustine, Nkwabi Ng’wanakilala.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani