Kigogo CCM akana kupewa onyo
NA ANITA BOMA, IRINGA KUMEIBUKA sintofahamu kuhusiana na hatima ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu, anayedaiwa kuadhibiwa na Kamati ya Maadili kutokana na madai ya kukihujumu chama chake.
Awali, ilielezwa kuwa Jesca amepewa adhabu ya kusimamishwa uanachama, lakini baadaye ikabainika kuwa amepewa onyo kali kuhusiana na tuhuma hizo.
Hata hivyo, Jesca ameibuka na kueleza kuwa amekata rufani kupinga hatua zilizochukuliwa dhidi yake na kusisitiza kuwa uamuzi huo...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo08 Jan
Meneja wa Temesa kupewa barua ya onyo
KIKAO cha Bodi ya Barabara mkoani Mwanza kimeazimia kumwandikia barua ya onyo Meneja wa Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) Mkoa wa Mwanza, Amon Senkoro kwa madai ya kudharau kutekeleza maagizo yaliyotolewa na kikao kilichofanyika Machi 21, mwaka huu.
10 years ago
Bongo Movies19 May
Baada ya Kupewa Onyo na BASATA, Shilole Afunguka
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameeleza kusikitishwa na kitendo cha yule aliempiga picha zile akiwa stejini akitumbuiza kwani ilikuwa ni bahati mbaya na sio makusudi.
Shilole amesema kuwa hata yeye hakupenda kile kilichotokea jukwaani wakati akitumbuiza Ubelgiji hivi karibuni, kwa sababu ilikuwa bahati mbaya na hakudhamiria kukaa uchi kama wengi wanavyosema.
Shishi ambaye ni mama wa watoto wawili amesema kuwa nguo mpya aliyoivaa siku hiyo ndio ilimponza...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe ajisalimisha kwenye Baraza la Maadili na kupewa onyo, Nchambi apewa nafasi kufika kikao
Wakati Vikao vya Baraza la Maadili vikiendelea siku yake ya pili kusikiliza mashauri ya ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Na. 13 ya 1995, Baraza hilo likiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Balozi Jaji (Mst.) Hamisi Msumi limetoa onyo kwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo kwa kukaidi wito wa kufika mbele ya Baraza hilo kujibu tuhuma zinazomkabili.
Kwa mujibu wa maelezo kutoka kwa Mwanasheria wa Sekretarieti...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Polisi akana ukada CCM
ASKARI Polisi, Mwashibanda Shibanda wa Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, anayedaiwa kujihusisha na siasa za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinyume na taratibu za jeshi, amekana tuhuma hizo akisema waulizwe viongozi...
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Kigogo CCM auawa
MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa kinyama na wananchi wenye hasira baada ya kumuua kwa risasi mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na miaka...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Kigogo CCM lawamani Geita
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma, amelaumiwa akidaiwa kuingilia maamuzi yanayofikiwa na Baraza la Madiwani, likiwemo la ujenzi wa choo. Kutokana na shutuma hizo, baadhi...
10 years ago
Mtanzania20 Feb
Kigogo CCM afia mkutanoni
Na Is-haka Omar, Zanzibar
MWAKILISHI wa Magomeni visiwani Zanzibar, Salmin Awadhi Salmin (CCM), amefariki dunia ghafla baada ya kuanguka katika kikao cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichokuwa kinafanyika katika ofisi kuu ya chama hicho, Kisiwandui mjini Unguja.
Taarifa hiyo ilianza kuenea mjini Unguja jana saa 6 mchana, na hata kuzua maswali kutoka kwa wananchi kuhusu utata wa kifo chake.
Salmin (57) ambaye pia alikuwa ni mnadhimu wa wawakilishi wa CCM na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho...
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Onyo la CCM kwa mawaziri 'mizigo'
11 years ago
GPL
KIGOGO CCM AUAWA JIJINI MWANZA