Mke wa rapper Noorah, Camila afariki dunia
Mke wa rapper Noorah, Camila Kingwalu amefariki dunia jana nyumbani kwao Morogoro baada ya kuugua kwa muda mrefu. Akizungumza na Bongo5, ndugu wa karibu wa marehemu ambaye hakutaka kutajwa jina lake, amesema Camila baada ya kuanza kuugua alirudi nyumbani kwao mpaka mauti yalipomkuta hapo jana. “Kweli amefariki alikuwa kwao Morogoro na bado haikujulikana alikuwa anaumwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MKE WA NOORAH AFARIKI DUNIA
11 years ago
Habarileo20 Jan
Mke wa Lubuva afariki dunia India
MKE wa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji mstaafu Damian Lubuva amefariki akiwa nchini India alikokuwa akitibiwa ugonjwa wa kisukari. Rais Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi, Lubuva kutokana na kifo hicho cha Martha Lubuva kilichotokea Januari 17 katika Hospitali ya Apollo iliyopo New Delhi, India.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-T5d6ReEQFFNKQIWZIo9c58fzc6xoqCwI16vepRlo9PR77UH*tJZc*FcqkFQZonolVh7BWrBsg1H8qNgdqVkwlcnm-*cwS0o/BREAKINGNEWS22.gif?width=500)
MKE WA AFANDE SELE AFARIKI DUNIA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ztt_d07VuYA/VOXAKB5y58I/AAAAAAAHEfs/ynVPyIInzGI/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
TAARIFA YA MSIBA: MKE WA PROF MLEKWA WA UDSM AFARIKI DUNIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ztt_d07VuYA/VOXAKB5y58I/AAAAAAAHEfs/ynVPyIInzGI/s1600/unnamed%2B(10).jpg)
Inasikitika kutangaza kifo cha mama yao Febronia Mshomba Mlekwa kilichotokea tarehe 16/02/2015 Katika Hospitali ya Kairuki, Dar Es Salaam. Mazishi yatafanyika tarehe19/02/2015 Alhamisi, Goba Dar Es Salaam.
Wale wote watakao kuungana penda na wafiwa, wanakaribishwa nyumbani kwa Mrehemu Savery mapema. Wote tunawatakia pole ya msiba.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pUv0rT5h6PJvK9UyuR4UNKfEsTxhwxYjB0NuMXUOLrs16*ZsutY-da4*GKOU4UuG-pSMZumY72k9b27R04Ra5N3UudUt2Akp/Noorah.jpg)
KIFO CHA MKE WA NOORAH CHAWALIZA WASANII
10 years ago
MichuziMKE WA MWANAHABARI WA KAMPUNI YA GUARDIAN NA NIPASHE, THOBIAS MWANAKATWE AFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA NA GARI JIJINI DAR ES SALAAM JANA
akiwa na mke wake enzi za uhai wake.
Dotto Mwaibale
MWANAHABARI wa Kampuni ya The Guardian na Nipashe, Thobias Mwanakatwe, amepoteza mke wake baada ya kugongwa na gari eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam jana usiku majira ya saa 2:30.
Akizungumza na mtandao wa www.habari za jamii.com. Mwanakatwe amesema kifo cha ghafla cha mke wake ni pigo kubwa kwake na familia...
10 years ago
VijimamboMKE WA MWANAHABARI WA KAMPUNI YA GUARDIAN NA NIPASHE, THOBIAS MWANAKATWE AFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA NA GARI NJE YA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE DAR ES SALAAM JANA
Dotto Mwaibale
MWANAHABARI wa Kampuni ya The Guardian na Nipashe, Thobias Mwanakatwe, amepoteza mke wake baada ya kugongwa na gari eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam jana usimu majira ya saa 2;30.
Akizungumza na mtandao wa www.habari za jamii.com. Mwanakatwe amesema kifo cha ghafla cha mke wake ni pigo kubwa kwake na familia...
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia
9 years ago
Bongo516 Oct
Rapper wa S.A Cassper Nyovest amshirikisha rapper wa U.S.A The Game kwenye album yake mpya, ‘Refiloe’