Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandishi apigwa kwenye bomoabomoa

MWANDISHI wa habari wa gazeti la Tanzania Daima mkoani Mbeya, Gordon Kalulunga (35), amenusurika kifo baada ya kupigwa na mgambo wa jiji hili waliokuwa kwenye shughuli za operesheni vunjavunja. Kalulunga...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mwandishi MCL atekwa, apigwa

Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd mkoani Mara, Christopher Maregesi amejeruhiwa na kulazwa Hospitali ya Bunda, baada ya kundi la watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa moja ya vyama vya siasa wakiwa na viongozi wao kumteka ambapo walimmpiga, kumtesa na kumjeruhi huku wakimpora vitendea kazi vyake ikiwamo kamera.

 

9 years ago

MillardAyo

Ninazo picha 20 kutoka hapa Kinondoni kwenye zoezi la BomoaBomoa Dar…..

Headlines za bomoabomoa zimeendelea tena leo Dec 18 ambapo zoezi hilo limeendela kwenye wilaya ya Kinondoni na kubomoa nyumba za wakazi waliokuwa wakiishi maeneo hatarishi hasa bonde la Msimbazi lililopo Kinondoni Hizi ni picha 20 za tukio zima la ubomoaji linaloendelea muda huu. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]

The post Ninazo picha 20 kutoka hapa Kinondoni kwenye zoezi la BomoaBomoa Dar….. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

GPL

AZALIA KWENYE NDOO, APIGWA PINGU!

Na Imelda Mtema
MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Hadija Mohammed, mkazi wa Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam amekumbana na mkono wa sheria baada ya kufanya kitendo cha kinyama kufuatia kujifungulia kwenye ndoo kisha kichanga kukitupa chooni. Hadija Mohammed, anayetuhumia kukitupa kichanga baada ya kuzaliwa. Kwa mujibu wa chanzo, mwanamke huyo alikuwa na ujauzito uliotimiza miezi tisa na kila mtu alikuwa akiuona,...

 

9 years ago

Mwananchi

ALLY HASSAN : Daxx mwandishi wa habari aliyejikita kwenye mitindo

Uanamitindo ni kazi ambayo watu wengi wamekuwa wakiizungumzia tofauti tofauti. Wengi huichukulia kama kazi ya kike isiyokuwa na faida.

 

5 years ago

Michuzi

Mwandishi wa habari ahukumiwa jela mwaka mmoja au faini ya shilingi milioni tano kwa kosa la kutoa maudhui kwenye mtandao wa youtube bila leseni




Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe imemtia hatiani na kumhukumu kulipa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo Cha Mwaka mmoja jela Mwandishi wa habari Prosper Mfugale baada ya mwandishi huyo kukiri kutoa maudhui Katika Mtandao wa YouTube bila ya kuwa na leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA), hata hivyo Mfugale amelipa faini hiyo na kuachiwa huru.

Mfugale alikamatwa mnamo Februari 29 Mwaka huu na kushikiliwa kwa siku nne kituo cha polisi Njombe na tarehe 4 Machi alifunguliwa...

 

11 years ago

GPL

BOMOABOMOA KARIAKOO

Zoezi la bomoabomoa likiendelea katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam ikiwa ni mikakati ya kuweka jiji safi. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715…

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa yasitishwa

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (Nemc), imesitisha ubomoaji wa nyumba zilizojengwa katika Bonde la Mto Msimbazi ili kuwapa nafasi wakazi kuhama na kuokoa mali zao.

 

9 years ago

Habarileo

Bomoabomoa nchi nzima

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesimamisha kazi ya bomoabomoa kwa siku 15 kwa wavamizi waliojenga katika Bonde la Mto Msimbazi, Dar es Salaam na kuwataka wavamizi hao kubomoa wenyewe na kuondoka maeneo hayo, kabla ya kazi hiyo kuanza tena Januari 5, mwakani.

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa kupingwa mahakamani

Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia amesema leo anatarajia kwenda mahakamani kupinga ubomoaji nyumba katika Bonde la Msimbazi kwa madai kuwa Serikali haijatimiza ahadi ya kuwagawia wakazi wengi wa maeneo hayo viwanja Mabwepande.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani