BOMOABOMOA KARIAKOO
![](http://api.ning.com:80/files/adHomLpcUH-bP5VICnay7MrfvYvOYLOvgNUJ5LvU1h1O3re*dQa29ybVcserO46Q4uCLjOnuCyXB362UsFcD-2BKT4S1MJLN/1KKOO2.jpg?width=650)
Zoezi la bomoabomoa likiendelea katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam ikiwa ni mikakati ya kuweka jiji safi. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania02 Dec
Bomoabomoa yanukia Kariakoo
Na Christina Gauluhanga, DAR ES SALAAM
MANISPAA ya Ilala imetoa siku saba kwa wamiliki wa nyumba, maduka, gereji bubu, sehemu za maegesho kuhakikisha wanaondoka katika maeneo waliyovamia kabla bomoabomoa haijawakumba.
Pia imeipa Mamlaka ya Maji Safi na Taka (DAWASCO) siku saba kuhakikisha inaunganisha mabomba ya maji taka yaliyopasuka, na kuondoa kero ya kusambaa mitaani.
Mkurugenzi wa Ilala, Isaya Mngurumi, alikuwa akizungumza Dar es Salaam jana alipotoa tathimini ya usafi katika...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm0JxiCmSPfhgS8NYnwpNxfZv6MMIPMNfbHbUVEOijLoIsk7to2cO54BnTTCROrZsU3Rmkbh5BOdaHlDvfmEhknZ/BOMOA1.jpg?width=650)
BOMOABOMOA ILIVYOACHA MITAA YA KARIAKOO, DAR
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Libeneke jipya la habari za Kariakoo ‘Kariakoo Digital’
Naomba kutambulisha kwenu tovuti mpya ya www.kariakootz.com inayofahamika kama Kariakoo Digital Ambayo imejikita katika kukusanya orodha ya maduka ya wafanyabiashara wa Kariakoo pamoja na bidhaa wanazouza, mawasiliano yao na mitaa wanayopatikana na kuyaweka sehemu moja ili kukupa urahisi wa kutafuta bidhaa unayohitaji.
Sasa unawaweza kuokoa muda na pesa zako kwa kutumia tovuti hii mpya ya www.kariakootz.com kupata orodha ya maduka mengi yanayouza bidhaa kariakoo kisha unaweza kuwasiliana...
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Bomoabomoa yasitishwa
9 years ago
Mwananchi21 Dec
Bomoabomoa kupingwa mahakamani
9 years ago
Habarileo23 Dec
Bomoabomoa nchi nzima
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesimamisha kazi ya bomoabomoa kwa siku 15 kwa wavamizi waliojenga katika Bonde la Mto Msimbazi, Dar es Salaam na kuwataka wavamizi hao kubomoa wenyewe na kuondoka maeneo hayo, kabla ya kazi hiyo kuanza tena Januari 5, mwakani.
11 years ago
Habarileo10 Apr
Kabwe aonya askari wa bomoabomoa
MKURUGENZI wa jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe amesema waandishi wa habari wanaruhusiwa kuandika habari zinazohusu uvunjaji wa vibanda vya wafanyabiashara ndogo linaloendelea katika sehemu mbalimbali jijini.
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Mwandishi apigwa kwenye bomoabomoa
MWANDISHI wa habari wa gazeti la Tanzania Daima mkoani Mbeya, Gordon Kalulunga (35), amenusurika kifo baada ya kupigwa na mgambo wa jiji hili waliokuwa kwenye shughuli za operesheni vunjavunja. Kalulunga...
9 years ago
Habarileo06 Jan
Bomoabomoa yakumba nyumba 100
BOMOABOMOA katika Manispaa ya Kinondoni imeendelea jana kwa nyumba takribani 100 kubomolewa kwa watu waishio mabondeni huku waliotakiwa kuhama katika hifadhi za misitu ya mikoko kufanya hivyo ifikapo kesho.