BOMOABOMOA ILIVYOACHA MITAA YA KARIAKOO, DAR
Pichani juu ni taswira kutoka mitaa ya Kariakoo jijini Dar baada ya bomoabomoa ya safisha jiji. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0715 715…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLBOMOABOMOA KARIAKOO
9 years ago
Mtanzania02 Dec
Bomoabomoa yanukia Kariakoo
Na Christina Gauluhanga, DAR ES SALAAM
MANISPAA ya Ilala imetoa siku saba kwa wamiliki wa nyumba, maduka, gereji bubu, sehemu za maegesho kuhakikisha wanaondoka katika maeneo waliyovamia kabla bomoabomoa haijawakumba.
Pia imeipa Mamlaka ya Maji Safi na Taka (DAWASCO) siku saba kuhakikisha inaunganisha mabomba ya maji taka yaliyopasuka, na kuondoa kero ya kusambaa mitaani.
Mkurugenzi wa Ilala, Isaya Mngurumi, alikuwa akizungumza Dar es Salaam jana alipotoa tathimini ya usafi katika...
11 years ago
GPLCITY TRAIN LIKIKATIZA MITAA YA KARIAKOO
10 years ago
VijimamboWAZIRI SAADA AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA MITAA YA KARIAKOO NA NAMANGA
10 years ago
MichuziSTAR WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO AWA KIVUTIO MITAA YA KARIAKOO
Mshindi wa Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 Mwanaafa Mwinzago (Katikati) akisindikizwa na Matron pamoja na Mfanyakazi wa TMT huku akilindwa na Mabaunsa wakati alipopelekwa Katika Mitaa ya Kariakoo kwaajili ya kununua zawadi Kwaajili ya Wazazi wake.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
GPLSTAR WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO AWA KIVUTIO MITAA YA KARIAKOO
10 years ago
VijimamboPITA PITA YA VIJIMAMBO MITAA YA KARIAKOO, MAANDALIZI YA MAULIDI YA MTUME (SAW)
Pita pita ya vijimambo ilikuta maamdalizi haya ya kisomo cha maulid ya Mtume (SAW) katika mitaa ya Kariakoo, ikamvutia sana paparazi wetu
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Bomoabomoa yasitishwa Dar es Salaam
Mawakili wa upande wa serikali na walalamikaji wakiandaa nakala zao kabla ya madai hayo kusikilizwa.Wakazi wa Kinondoni wakipongezana baada ya kupokea taarifa za kusitishwa kwa bomoabomoa kwenye makazi yao.
Askari wakidumisha usalama.
MAHAKAMA ya Ardhi jijini Dar imesimamisha zoezi la bomoabomoa iliyowakumba wakazi maeneo ya mabondeni wa Wilaya ya Kinondoni baada ya wakazi hao kufikisha ombi hilo mahakamani hapo mapema wiki iliyopita.
Ombi hilo lilitokana na malalamiko ya wakazi wengi...
9 years ago
Mtanzania07 Jan
Bomoabomoa kuendelea leo Dar
Na Grace Shitundu, Dar es Salaam
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema kazi ya ubomoaji nyumba zilizoko katika Bonde la Mto Msimbazi itaendelea leo katika maeneo ambayo hayako kwenye zuio lililotolewa na Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Bonaventure Baya, alisema zuio lililopo mahakamani linahusu nyumba 681 tu, hivyo wataendelea na kazi katika maeneo yote...