Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kabwe aonya askari wa bomoabomoa

MKURUGENZI wa jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe amesema waandishi wa habari wanaruhusiwa kuandika habari zinazohusu uvunjaji wa vibanda vya wafanyabiashara ndogo linaloendelea katika sehemu mbalimbali jijini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KIINGLISHI KILIVYOWAGOMBANISHA ASKARI POLISI NA ASKARI WA MANISPAA YA MOSHI


Kisha safari ya kwenda Kituoni ikaanza. Ghafla Mkude baada ya kuona kamera ya globu ya jamii inammulika alimuamuru askari mwenzake kuikamata ,alakini hata hivyo askari yule alifahamu kuwa Globu ya jamii pia iko kazini kama walivyo wao. Mzobe mzobe ukaendelea kupita katikati ya kituo kikuu cha mabasi huku mbinje za kutosha toka kwa wakatisha tiketi na wapiga debe zikirindima. Askari Polisi.Mkude akafanikiwa kuwatia mikononi askari wa manispaa ya Moshi wanaoshughulika na...

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa yasitishwa

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (Nemc), imesitisha ubomoaji wa nyumba zilizojengwa katika Bonde la Mto Msimbazi ili kuwapa nafasi wakazi kuhama na kuokoa mali zao.

 

11 years ago

GPL

BOMOABOMOA KARIAKOO

Zoezi la bomoabomoa likiendelea katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam ikiwa ni mikakati ya kuweka jiji safi. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715…

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa kupingwa mahakamani

Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia amesema leo anatarajia kwenda mahakamani kupinga ubomoaji nyumba katika Bonde la Msimbazi kwa madai kuwa Serikali haijatimiza ahadi ya kuwagawia wakazi wengi wa maeneo hayo viwanja Mabwepande.

 

9 years ago

Habarileo

Bomoabomoa nchi nzima

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesimamisha kazi ya bomoabomoa kwa siku 15 kwa wavamizi waliojenga katika Bonde la Mto Msimbazi, Dar es Salaam na kuwataka wavamizi hao kubomoa wenyewe na kuondoka maeneo hayo, kabla ya kazi hiyo kuanza tena Januari 5, mwakani.

 

9 years ago

Mtanzania

Bomoabomoa yanukia Kariakoo

DSC_0383Na Christina Gauluhanga, DAR ES SALAAM

MANISPAA ya Ilala imetoa siku saba kwa wamiliki wa nyumba, maduka, gereji bubu, sehemu za maegesho kuhakikisha wanaondoka katika maeneo waliyovamia kabla bomoabomoa haijawakumba.

Pia imeipa Mamlaka ya Maji Safi na Taka (DAWASCO) siku saba kuhakikisha inaunganisha mabomba ya maji taka yaliyopasuka, na kuondoa kero  ya kusambaa mitaani.

Mkurugenzi wa Ilala, Isaya Mngurumi, alikuwa akizungumza   Dar es Salaam jana alipotoa tathimini ya usafi katika...

 

9 years ago

Mtanzania

Bomoabomoa kuendelea leo Dar

bomoaNa Grace Shitundu, Dar es Salaam

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema kazi ya ubomoaji nyumba zilizoko katika Bonde la Mto Msimbazi itaendelea leo katika maeneo ambayo hayako kwenye zuio lililotolewa na Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi.

Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam,  Mkurugenzi Mkuu wa NEMC,  Bonaventure Baya,   alisema zuio lililopo mahakamani linahusu nyumba 681 tu, hivyo wataendelea na kazi  katika maeneo yote...

 

11 years ago

Mwananchi

Utulivu watawala bomoabomoa Arusha

Hatimaye Halmashauri ya Jiji la Arusha imeanza kubomoa nyumba zaidi ya 300 baada ya malumbano ya kisheria mahakamani, yaliyochukua muda mrefu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani