Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pohamba:ashinda tuzo ya 2014 ya Mo Ibrahim

Rais anayeondoka wa Naimbia Hifikepunye Pohamba,ameshinda tuzo ya dola milioni tano la Mo Ibrahim ya uongozi wa Afrika.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BRAHIMI ASHINDA TUZO YA BBC YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA 2014 AFRIKA

Yacine Brahimi akiwa na tuzo yake ya BBC. MSHINDI wa tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa mwaka 2014 Afrika imekwenda kwa mchezaji wa Algeria na nyota wa Porto, Yacine Brahimi. Hapajawahi kutokea katika miaka 23 ya historia ya shindano hilo kwa mchezaji bora kutoka Algeria kuishinda tuzo hiyo, lakini Brahimi amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada ya mwaka uliokuwa na mbwembwe nyingi. Brahimi amewabwaga wachezaji wengine nyota wakiwemo,...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ASHINDA TUZO YA BEST AFRICAN ENTERTAINER ..NIYA 14 NDANI YA MWAKA 2014 PEKEE

Promoter  " DMK " Baada ya kuipokea Tuzo Hiyo ya IRAWMA kwa niaba ya  DIAMOND  PLATNUMZ


Diamond hakuweza kufika kwenye tuzo hizo zilizofanyikia Florida kwa mwaka huu kutokana na tarehe kugongana na shughuli zake za kazi.Diamond ameweza kujishindia tuzo 14 mwaka huu pekee ikiwa ni pamoja na Tuzo 7 za Kilimanjaro Award na 7 za kimataifa.Bwana "DMK" amepokea Tuzo hiyo  kwa niaba ya Msanii Diamond na kwasasa Tuzo hiyo iko Njiani Kuelekea Tanzania.Mungu azidi kumjalia afya Njema Mwanamuziki huyo...

 

10 years ago

Mtanzania

Rais Namibia apata Tuzo ya Mo Ibrahim

POHAMBAMwandishi Wetu na Mashirika ya Habari
RAIS anayemaliza muda wake nchini Namibia, Hifikepunye Pohamba, ameshinda tuzo ya Mo Ibrahim inayotolewa kwa kiongozi wa Afrika aliyeonyesha uongozi bora.
Tuzo hiyo yenye thamani ya dola za Marekani milioni tano (sawa na Sh bilioni 9.2 za Tanzania) ni kubwa zaidi duniani kutolewa kwa mtu mmoja mmoja.
Fedha hizo hutolewa kila mwaka kwa kiongozi wa kuchaguliwa aliyetawala vizuri kwa kuinua viwango vya maisha ya raia wake na kisha kuondoka madarakani kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkenya ashinda tuzo la Goldman

Phyllis Omido kutoka Kenya ni miongoni mwa washindi sita waliokabidhiwa tuzo la Goldman huko Marekani, Jumatatu usiku.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkenya ashinda tuzo ya Cane

Mkenya Okwiri Oduor ndiye mshindi wa tuzo la Caine - inayotolewa kwa waandishi maarufu zaidi wa Kiafrika.

 

10 years ago

Habarileo

Askari ashinda tuzo ya ulinzi wa faru

ASKARI daraja la pili, Malale Mwita kutoka Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ameshinda tuzo ya kila mwaka ya askari bora katika ulinzi wa faru kwa mwaka 2015 Barani Afrika.

 

9 years ago

BBCSwahili

Dada Dj mkenya ashinda tuzo la Nollywood

Mwanadada Dj kutoka nchini Kenya, Pierra Makena ametunikiwa tuzo kwa kushiriki katika filamu moja ya kinigeria

 

10 years ago

Mwananchi

Mkenya ashinda Tuzo ya CNN Afrika

Mpigapicha wa shambulio la kigaidi katika jengo la Westgate nchini Kenya, Joseph Mathenge ameibuka mshindi wa jumla wa tuzo za waandishi wa habari za Afrika za CNN Multichoice, huku historia ya picha zake ikiibua simanzi na vigelegele vya ushindi.

 

11 years ago

GPL

RIHANNA ASHINDA TUZO YA MOST DESIRABLE WOMAN

Rihanna alikabidhiwa tuzo na mchekeshaji, Kevin Hart tuzo zinazojulikana kama Guys Choice Awards zilizofanyika Los Angeles. Rihanna akiwa na tuzo ya Most Desirable Woman baada ya kukabidhiwa. Wiki iliyopita baada ya Rihanna kupokea tuzo ya mitindo ya CFDA, akiwa na  kivazi kikimuonesha nusu mtupu kilikuwa gumzo kiasi cha kushambuliwa na waimbaji wa kundi la TLC kuwa anajiuza huku Jay Z akijitokeza… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani