Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RIHANNA ASHINDA TUZO YA MOST DESIRABLE WOMAN

Rihanna alikabidhiwa tuzo na mchekeshaji, Kevin Hart tuzo zinazojulikana kama Guys Choice Awards zilizofanyika Los Angeles. Rihanna akiwa na tuzo ya Most Desirable Woman baada ya kukabidhiwa. Wiki iliyopita baada ya Rihanna kupokea tuzo ya mitindo ya CFDA, akiwa na  kivazi kikimuonesha nusu mtupu kilikuwa gumzo kiasi cha kushambuliwa na waimbaji wa kundi la TLC kuwa anajiuza huku Jay Z akijitokeza… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Rihanna ashinda kesi dhidi ya Topshop

Rihannaameshinda kesi ya madai dhidi ya duka la mavzi la Topshop juu ya fulana iliyobandikwa sura yake.

 

10 years ago

Bongo5

Rihanna ashinda kesi dhidi ya duka la Uingereza lililokuwa likiuza T-shirt zenye picha yake

Rihanna ameshinda kesi yake dhidi ya duka kubwa la Topshop la nchini Uingereza lililokuwa likiuza T-shirts zenye picha yake. Mahakama ya rufaa ya jijini London imetoa katazo la kuuzwa kwa T-shirts hizo zilizokuwa zikiuzwa bila ridhaa ya Rihanna. Staa huyo aliishtaki kampuni mama ya Topshop, Arcadia kwa kudai fidia ya dola milioni tano mwaka 2013 […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkenya ashinda tuzo la Goldman

Phyllis Omido kutoka Kenya ni miongoni mwa washindi sita waliokabidhiwa tuzo la Goldman huko Marekani, Jumatatu usiku.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkenya ashinda tuzo ya Cane

Mkenya Okwiri Oduor ndiye mshindi wa tuzo la Caine - inayotolewa kwa waandishi maarufu zaidi wa Kiafrika.

 

10 years ago

KwanzaJamii

Dk. Mengi ashinda tuzo mbili Nairobi

Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, ameibuka mshindi wa tuzo mbili kwenye fainali ya shindano la kuwania Tuzo ya Mwaka ya Mfanyabiashara Bora Afrika (AABLA) kundi la Afrika Mashariki. Sherehe za kutoa tuzo hizo zilifanyika jijini Nairobi, Kenya Jumamosi iliyopita. Dk. Mengi alitunukiwa Tuzo ya Mfanyabiashata Bora Afrika kwa mwaka 2014, kutoka kundi la Afrika Mashariki. Majaji wa shindano hilo pia waliamua kumtunuku...

 

9 years ago

Mtanzania

Mwigizaji wa Bongo ashinda tuzo Marekani

photoNA CHRISTOPHER MSEKENA

MWIGIZAJI wa filamu nchini, omary Clayton, ameibuka kidedea katika kipengele cha msanii bora wa kiume kwenye tuzo za Califonia Online Viewers Choice Awards (COVCA) zilizotolewa usiku wa kuamkia jana huko Marekani.

Nyota huyo ni moja ya waigizaji wakuu waliofanya vizuri kwenye filamu inayoitwa Dogo Masai iliyomfanya Omary Clayton kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho.

“Daah mpaka nimetokwa na machozi, sijui niseme nini ila kikubwa namshukuru Mungu na Watanzania wote kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Askari ashinda tuzo ya ulinzi wa faru

ASKARI daraja la pili, Malale Mwita kutoka Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ameshinda tuzo ya kila mwaka ya askari bora katika ulinzi wa faru kwa mwaka 2015 Barani Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani