Mkenya ashinda tuzo ya Cane
Mkenya Okwiri Oduor ndiye mshindi wa tuzo la Caine - inayotolewa kwa waandishi maarufu zaidi wa Kiafrika.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili21 Apr
Mkenya ashinda tuzo la Goldman
Phyllis Omido kutoka Kenya ni miongoni mwa washindi sita waliokabidhiwa tuzo la Goldman huko Marekani, Jumatatu usiku.
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Dada Dj mkenya ashinda tuzo la Nollywood
Mwanadada Dj kutoka nchini Kenya, Pierra Makena ametunikiwa tuzo kwa kushiriki katika filamu moja ya kinigeria
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Mkenya ashinda Tuzo ya CNN Afrika
Mpigapicha wa shambulio la kigaidi katika jengo la Westgate nchini Kenya, Joseph Mathenge ameibuka mshindi wa jumla wa tuzo za waandishi wa habari za Afrika za CNN Multichoice, huku historia ya picha zake ikiibua simanzi na vigelegele vya ushindi.
10 years ago
BBCSwahili26 Oct
Mkenya ashinda mbio za Frankfurt
Mark Kiptoo ameimarisha ushindi wake katika mashindano ya mbio za Frankfurt mwaka huu baada ya kuibuka mshindi.
10 years ago
BBCSwahili08 Oct
Mkenya aliyebadili jinsia ashinda kesi
Mahakama imemruhusu kubadilisha majina katika vyeti vyake vya mitihani ya elimu ya juu kutoka Andrew na kuwa Audrey.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75p6U8gDctb2CjO4VqVIRFXIaZIK8M-P*2DP9hkW-2EF13svuYAk09MbyH5U8l2mAPa7vuvqaytAMlvBwCPjXAxb/Rihannanne.jpg?width=650)
RIHANNA ASHINDA TUZO YA MOST DESIRABLE WOMAN
Rihanna alikabidhiwa tuzo na mchekeshaji, Kevin Hart tuzo zinazojulikana kama Guys Choice Awards zilizofanyika Los Angeles. Rihanna akiwa na tuzo ya Most Desirable Woman baada ya kukabidhiwa. Wiki iliyopita baada ya Rihanna kupokea tuzo ya mitindo ya CFDA, akiwa na kivazi kikimuonesha nusu mtupu kilikuwa gumzo kiasi cha kushambuliwa na waimbaji wa kundi la TLC kuwa anajiuza huku Jay Z akijitokeza… ...
10 years ago
Habarileo01 Aug
Askari ashinda tuzo ya ulinzi wa faru
ASKARI daraja la pili, Malale Mwita kutoka Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ameshinda tuzo ya kila mwaka ya askari bora katika ulinzi wa faru kwa mwaka 2015 Barani Afrika.
10 years ago
BBCSwahili09 Feb
Sam Smith ashinda tuzo Marekani
Mwanamuziki raia wa Uingereza Sam Smith ameshinda tuzo mbili za Grammys zilizofanyika Los Angles Marekani.
10 years ago
KwanzaJamii23 Sep
Dk. Mengi ashinda tuzo mbili Nairobi
Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, ameibuka mshindi wa tuzo mbili kwenye fainali ya shindano la kuwania Tuzo ya Mwaka ya Mfanyabiashara Bora Afrika (AABLA) kundi la Afrika Mashariki.
Sherehe za kutoa tuzo hizo zilifanyika jijini Nairobi, Kenya Jumamosi iliyopita.
Dk. Mengi alitunukiwa Tuzo ya Mfanyabiashata Bora Afrika kwa mwaka 2014, kutoka kundi la Afrika Mashariki. Majaji wa shindano hilo pia waliamua kumtunuku...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania