Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sam Smith ashinda tuzo Marekani

Mwanamuziki raia wa Uingereza Sam Smith ameshinda tuzo mbili za Grammys zilizofanyika Los Angles Marekani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Sam Smith afunika tuzo za Grammy,Marekani

Mwanamuziki wa nchini Marekani Sam Smith ameibuka kidedea baada ya kunyakua tuzo nne katika tuzo kubwa za Grammy zilizofanyika jana nchini Marekani.Wengine walioshinda tuzo hizo ni Pharel Williams tuzo 3, Beyonce tuzo 2 moja wapo yupo name Jay Z, Eminem tuzo 2, Kendrick Lamar Tuzo 1.

 

9 years ago

Mtanzania

Mwigizaji wa Bongo ashinda tuzo Marekani

photoNA CHRISTOPHER MSEKENA

MWIGIZAJI wa filamu nchini, omary Clayton, ameibuka kidedea katika kipengele cha msanii bora wa kiume kwenye tuzo za Califonia Online Viewers Choice Awards (COVCA) zilizotolewa usiku wa kuamkia jana huko Marekani.

Nyota huyo ni moja ya waigizaji wakuu waliofanya vizuri kwenye filamu inayoitwa Dogo Masai iliyomfanya Omary Clayton kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho.

“Daah mpaka nimetokwa na machozi, sijui niseme nini ila kikubwa namshukuru Mungu na Watanzania wote kwa...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Sam Smith — Writing’s On The Wall (from Spectre)

Msanii wa Pop kutoka Uingereza Sam Smith… Adele alishawahi kutoa wimbo ambao ulitumika kama soundtrack kwenye movie ya 007 James Bond mwaka 2012, na safari hii. Sam Smith ametoa wimbo unaitwa ‘Writing’s on the Wall’ ambao ndo official soundtrack kwenye movie ya James Bond ‘Spectre’ inayotegemea kutoka tarehe 6 November mwaka huu single hii ipo […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Sam Smith na Nicki Minaj wang'ara BET

Sam Smith ameshinda tuzo la msani bora mpya katika tamasha la mwaka huu la tuzo za BET mjini Los Angeles.

 

9 years ago

Michuzi

PROMOTER MTANZANIA ANAYEISHI MAREKANI ASHINDA TUZO YA "BEST PROMOTER" MAREKANI

                                Ndugu Dickson anayefahamika kwa wengi kama  Mr "DMK "Promoter "DMK" wa Kampuni ya DMK GLOBAL PROMOTIONS ashinda Tuzo ya Best Promoter USA katika zile tuzo za AFRICAN ENTERTAINMENT AWARDS USA 2015 ,Tuzo hizo zilitolewa OCTOBER 31 New York ambapo Makampuni 6 yalikuwa yakichuana kipengele hicho na DMK Global kuibuka kidedea,Pia katika Awards hizo Wasanii kutoka Tanzania Diamond alichukua Tuzo ya Hottest Male Single na Ommy Dimpoz tuzo ya People's Choice .
   ...

 

10 years ago

Bongo5

Audio: Ben Pol aurudia wimbo wa Sam Smith ‘Stay With Me’, Ni Shida!

Ben Pol amefanya kava ya wimbo wa msanii wa Uingereza, Sam Smith ‘Stay With Me’. Kwa uwezo wa sauti yake kwenye wimbo huu ni wazi kuwa Ben ni msanii bora wa rnb kuwahi kutokea Tanzania. Production imefanywa na Mswaki. Noma sana. Chini ni wimbo wa Sam Smith.

 

9 years ago

Bongo5

Ommy Dimpoz ashinda tuzo Marekani, aingia studio kurekodi na Eddy Kenzo

12071024_1489877797975917_850313823_nOmmy Dimpoz ameshinda tuzo ya African Entertainment Awards zilizofanyika Jumamosi hii huko New Jersey, Marekani. Ommy Dimpoz, Mubenga na DMK wakiwa red carpet Ommy aliyetumbuiza pia kwenye tuzo hizo alishinda kipengele cha People’s Choice Award. Kufuatia ushindi huo, muimbaji huyo aliandika kwenye Instagram, “ Thank you my people for your Votes U made this Possible […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Soundtrack ya filamu mpya ya James Bond iliyoimbwa na Sam Smith — ‘Writing’s On The Wall’

Soundtrack ya filamu mpya ya James Bond ‘Spectre’ imetoka. Ni wimbo ulioimbwa na Muingereza, Sam Smith – “Writing’s On the Wall”. Smith ameingia kwenye orodha ya wanamuziki waliowahi kutumika katika kutengeneza soundtrack kwenye filamu zilizopita za James Bond. Wengine ni Adele, Tina Turner, Paul McCartney, na Shirley Bassey. Spectre inatarajiwa kuanza kuoneshwa kwenye majukmba ya […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani