Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sam Smith afunika tuzo za Grammy,Marekani

Mwanamuziki wa nchini Marekani Sam Smith ameibuka kidedea baada ya kunyakua tuzo nne katika tuzo kubwa za Grammy zilizofanyika jana nchini Marekani.Wengine walioshinda tuzo hizo ni Pharel Williams tuzo 3, Beyonce tuzo 2 moja wapo yupo name Jay Z, Eminem tuzo 2, Kendrick Lamar Tuzo 1.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Sam Smith ashinda tuzo Marekani

Mwanamuziki raia wa Uingereza Sam Smith ameshinda tuzo mbili za Grammys zilizofanyika Los Angles Marekani.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Sam Smith — Writing’s On The Wall (from Spectre)

Msanii wa Pop kutoka Uingereza Sam Smith… Adele alishawahi kutoa wimbo ambao ulitumika kama soundtrack kwenye movie ya 007 James Bond mwaka 2012, na safari hii. Sam Smith ametoa wimbo unaitwa ‘Writing’s on the Wall’ ambao ndo official soundtrack kwenye movie ya James Bond ‘Spectre’ inayotegemea kutoka tarehe 6 November mwaka huu single hii ipo […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Sam Smith na Nicki Minaj wang'ara BET

Sam Smith ameshinda tuzo la msani bora mpya katika tamasha la mwaka huu la tuzo za BET mjini Los Angeles.

 

10 years ago

Bongo5

Audio: Ben Pol aurudia wimbo wa Sam Smith ‘Stay With Me’, Ni Shida!

Ben Pol amefanya kava ya wimbo wa msanii wa Uingereza, Sam Smith ‘Stay With Me’. Kwa uwezo wa sauti yake kwenye wimbo huu ni wazi kuwa Ben ni msanii bora wa rnb kuwahi kutokea Tanzania. Production imefanywa na Mswaki. Noma sana. Chini ni wimbo wa Sam Smith.

 

9 years ago

Bongo5

Music: Soundtrack ya filamu mpya ya James Bond iliyoimbwa na Sam Smith — ‘Writing’s On The Wall’

Soundtrack ya filamu mpya ya James Bond ‘Spectre’ imetoka. Ni wimbo ulioimbwa na Muingereza, Sam Smith – “Writing’s On the Wall”. Smith ameingia kwenye orodha ya wanamuziki waliowahi kutumika katika kutengeneza soundtrack kwenye filamu zilizopita za James Bond. Wengine ni Adele, Tina Turner, Paul McCartney, na Shirley Bassey. Spectre inatarajiwa kuanza kuoneshwa kwenye majukmba ya […]

 

10 years ago

GPL

ORODHA YA WASHINDI WA TUZO ZA GRAMMY

Tuzo za 57 za Grammy zimafanyika Los Angeles usiku wa kuamkia leo iliyopita na wasanii kama Kendrick Lamar alishinda tofauti na mwaka jana ambapo hakuambulia kitu.

Kendrick ameshinda tuzo mbili zikiwa ni Best Rap Song na Best Rap Performance kwa wimbo wake wa “i,”. Beyonce ameshnda tuzo tatu ikiwa ni Best Surround Sound Album na Best R&B Song kupitia “Drunk In Love” ft Jay Z.
Beyoncé akiwa na...

 

9 years ago

Bongo5

Mtanzania huyu atinga tuzo za Grammy 2016

10593089_742746879124089_1364310142790121327_n

Majina ya wasanii watakaowania tuzo za Grammy mwaka 2016 yametajwa. Grammy ni tuzo zenye heshima zaidi nchini Marekani.

10534549_742746822457428_4660708305664574914_n

Rapper mwenye asili ya Tanzania, Allan Kingdom naye ametajwa kwenye tuzo hizo thanks kwa shavu alilopewa na Kanye West kwenye wimbo wake All Day. Wimbo huo umetajwa kuwania vipengele viwili, Best Rap Performance na Best Rap Song.

Allan anaishi Minnesota, Marekani.
https://www.youtube.com/watch?v=X8GsQhCAkcg

MFAHAMU ZAIDI ALLAN KINGDOM

Mwaka jana mtandao wa Complex...

 

9 years ago

Mtanzania

Will Smith: Nitakuja kuwa rais wa Marekani

Will SmithNEW YORK, MAREKANI

MKALI wa muziki na filamu nchini Marekani, Will Smith, amesema bado ana ndoto za kuja kuwa rais wa nchi hiyo kwa miaka ijayo.

Msanii huyo ambaye anafanya vizuri katika filamu, ameamua kurudi tena kwenye muziki baada ya kukaa kimya kwa miaka mingi, lakini mbali na kufanya muziki amesema kuwa lengo lake ni kuja kuwa rais wa Marekani.

“Ninaamini kila kitu kinawezekana, lakini kwa upande wangu ni kwamba siku moja nije kuwa rais wa Marekani, hii ni mipango yangu kwa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani