Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtanzania huyu atinga tuzo za Grammy 2016

10593089_742746879124089_1364310142790121327_n

Majina ya wasanii watakaowania tuzo za Grammy mwaka 2016 yametajwa. Grammy ni tuzo zenye heshima zaidi nchini Marekani.

10534549_742746822457428_4660708305664574914_n

Rapper mwenye asili ya Tanzania, Allan Kingdom naye ametajwa kwenye tuzo hizo thanks kwa shavu alilopewa na Kanye West kwenye wimbo wake All Day. Wimbo huo umetajwa kuwania vipengele viwili, Best Rap Performance na Best Rap Song.

Allan anaishi Minnesota, Marekani.
https://www.youtube.com/watch?v=X8GsQhCAkcg

MFAHAMU ZAIDI ALLAN KINGDOM

Mwaka jana mtandao wa Complex...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Wanaowania Grammy Awards 2016 watangazwa, Kendrick Lamar aongoza

kendrick lamar

Majina ya wanaowania tuzo za 58 za Grammy 2016 yametangazwa Jumatatu Dec 7.

kendrick lamar

Wasanii wa Marekani waliotajwa kuwania vipengele vingi zaidi ni Kendrick Lamar anayewania vipengele 11, akifatiwa na Taylor Swift na The Weeknd wanaowania vipengele 7 kila mmoja.

Taylor Swift ndiye msanii pekee aliyefanikiwa kuingia kwenye vipengele vyote vikubwa – ‘Album of the Year’, ‘Song of the Year’, na ‘Record of the Year’.

Wengine waliotajwa kwenye kinyang’anyiro hicho ni Angelique Kidjo na kundi la Ladysmith...

 

5 years ago

Showbiz Cheat Sheet

Rihanna Reveals That She Lied About the Reason She Skipped Her 2016 Grammy Performance

Rihanna Reveals That She Lied About the Reason She Skipped Her 2016 Grammy Performance  Showbiz Cheat Sheet

 

9 years ago

Bongo5

Sababu za ‘Hotline Bling’ ya Drake kutoingia kwenye Grammy Awards 2016 – Ripoti

drake sad

Drake anawania vipengele vinne kwenye tuzo za Grammy 2016 lakini hit song yake ya ‘Hotline Bling’ haijaingia kwenye kipengele chochote kati ya hivyo licha ya kufanya vizuri mwaka huu.

drake sad

Mitandao mbalimbali imeripoti sababu inayodaiwa kupelekea wimbo huo usiwemo kabisa kwenye tuzo za 58 za Grammy ambazo majina ya nominees yametangazwa jana.

Label ya Cash Money Records ndio imetupiwa lawama za kusababisha wimbo huo wa rapa wa Canada, Drake kutoingia kwenye nomination za Grammy Awards 2016....

 

10 years ago

GPL

ORODHA YA WASHINDI WA TUZO ZA GRAMMY

Tuzo za 57 za Grammy zimafanyika Los Angeles usiku wa kuamkia leo iliyopita na wasanii kama Kendrick Lamar alishinda tofauti na mwaka jana ambapo hakuambulia kitu.

Kendrick ameshinda tuzo mbili zikiwa ni Best Rap Song na Best Rap Performance kwa wimbo wake wa “i,”. Beyonce ameshnda tuzo tatu ikiwa ni Best Surround Sound Album na Best R&B Song kupitia “Drunk In Love” ft Jay Z.
Beyoncé akiwa na...

 

10 years ago

CloudsFM

Sam Smith afunika tuzo za Grammy,Marekani

Mwanamuziki wa nchini Marekani Sam Smith ameibuka kidedea baada ya kunyakua tuzo nne katika tuzo kubwa za Grammy zilizofanyika jana nchini Marekani.Wengine walioshinda tuzo hizo ni Pharel Williams tuzo 3, Beyonce tuzo 2 moja wapo yupo name Jay Z, Eminem tuzo 2, Kendrick Lamar Tuzo 1.

 

10 years ago

Bongo5

Beyonce awa mwanamke aliyetajwa kuwania tuzo za Grammy mara nyingi zaidi

Beyonce amekuwa mwanamke kwenye muziki aliyewahi kutajwa kuwania tuzo nyingi zaidi za Grammy. Kabla ya majina mapya yaliyotajwa Ijumaa, Queen Bey alikuwa analingana na Dolly Parton kwa kuwa na nomination 46 za Grammy. Hata hivyo baada ya album yake Beyoncé kutajwa kuwania ‘Best Urban Contemporary Album’, Beyonce amefikisha nomination 47. Beyonce amewahi kushinda tuzo 17 […]

 

10 years ago

GPL

MADONNA AONYESHA MAKALIO YAKE KATIKA RED CARPET ZA TUZO ZA GRAMMY 2015

Madonna akionyesha makalio yake. MWANAMUZIKI mkongwe wa muziki wa Pop nchini Marekani asiyeishiwa vituko, Madonna jana ametoa kali nyingine baada ya kuinua juu gauni lake na kuonyesha makalio yake wakati akipiga picha za red carpet kwenye zoezi la utoaji Tuzo za 57 za Grammy. Madonna akiwasili katika red carpet ya Tuzo za Grammy 2015 akiambatana na mwanamuziki Nas. Madonna… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani