Wanaowania Grammy Awards 2016 watangazwa, Kendrick Lamar aongoza
Majina ya wanaowania tuzo za 58 za Grammy 2016 yametangazwa Jumatatu Dec 7.
Wasanii wa Marekani waliotajwa kuwania vipengele vingi zaidi ni Kendrick Lamar anayewania vipengele 11, akifatiwa na Taylor Swift na The Weeknd wanaowania vipengele 7 kila mmoja.
Taylor Swift ndiye msanii pekee aliyefanikiwa kuingia kwenye vipengele vyote vikubwa – ‘Album of the Year’, ‘Song of the Year’, na ‘Record of the Year’.
Wengine waliotajwa kwenye kinyang’anyiro hicho ni Angelique Kidjo na kundi la Ladysmith...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo506 Dec
Majina ya wanaowania tuzo za 2015 Grammy Awards yatangazwa, zitatolewa Feb. (orodha kamili)
9 years ago
Bongo515 Oct
Orodha ya washindi wa BET Hip Hop Awards 2015: Kendrick Lamar na Big Sean waongoza
9 years ago
Bongo504 Nov
People’s Choice Awards 2016: Majina ya wanaowania upande wa muziki
![the-weeknd](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/the-weeknd-300x194.jpg)
Majina ya wanaowania tuzo za People’s Choice Awards 2016 yametangazwa Jumanne hii Nov.3.
Upande wa muziki miongoni mwa wasanii wenye nomination nyingi ni pamoja na The Weeknd anayeongoza kwa nominations tano. Wengine waliofanikiwa kuingia ni pamoja Taylor Swift , Drake, Justin Bieber, Madonna.
Tuzo hizo zitatolewa na kuoneshwa kupitia CBS January 6, 2016
Hii ni orodha ya wanaowania tuzo hizo upande wa muziki
Favorite Male Artist
Ed Sheeran
Justin Bieber
Luke Bryan
Nick Jonas
The...
9 years ago
Bongo509 Dec
Sababu za ‘Hotline Bling’ ya Drake kutoingia kwenye Grammy Awards 2016 – Ripoti
![drake sad](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/drake-sad-300x194.jpg)
Drake anawania vipengele vinne kwenye tuzo za Grammy 2016 lakini hit song yake ya ‘Hotline Bling’ haijaingia kwenye kipengele chochote kati ya hivyo licha ya kufanya vizuri mwaka huu.
Mitandao mbalimbali imeripoti sababu inayodaiwa kupelekea wimbo huo usiwemo kabisa kwenye tuzo za 58 za Grammy ambazo majina ya nominees yametangazwa jana.
Label ya Cash Money Records ndio imetupiwa lawama za kusababisha wimbo huo wa rapa wa Canada, Drake kutoingia kwenye nomination za Grammy Awards 2016....
9 years ago
Bongo515 Oct
Orodha ya wanaowania American Music Awards 2015, Taylor Swift aongoza
9 years ago
Bongo529 Oct
Video: Kendrick Lamar — These Walls
5 years ago
Bongo514 Feb
Video: Kendrick Lamar – DNA
Rapper Kendrick Lamar ameachia video ya wimbo wake ‘DNA’. Video hiyo imeongozwa na Nabil & the little homies.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp
10 years ago
Bongo510 Feb
New Music: Kendrick Lamar — The Blacker The Berry
10 years ago
GPL23 May