Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Will Smith: Nitakuja kuwa rais wa Marekani

Will SmithNEW YORK, MAREKANI

MKALI wa muziki na filamu nchini Marekani, Will Smith, amesema bado ana ndoto za kuja kuwa rais wa nchi hiyo kwa miaka ijayo.

Msanii huyo ambaye anafanya vizuri katika filamu, ameamua kurudi tena kwenye muziki baada ya kukaa kimya kwa miaka mingi, lakini mbali na kufanya muziki amesema kuwa lengo lake ni kuja kuwa rais wa Marekani.

“Ninaamini kila kitu kinawezekana, lakini kwa upande wangu ni kwamba siku moja nije kuwa rais wa Marekani, hii ni mipango yangu kwa kuwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Sam Smith ashinda tuzo Marekani

Mwanamuziki raia wa Uingereza Sam Smith ameshinda tuzo mbili za Grammys zilizofanyika Los Angles Marekani.

 

10 years ago

CloudsFM

Sam Smith afunika tuzo za Grammy,Marekani

Mwanamuziki wa nchini Marekani Sam Smith ameibuka kidedea baada ya kunyakua tuzo nne katika tuzo kubwa za Grammy zilizofanyika jana nchini Marekani.Wengine walioshinda tuzo hizo ni Pharel Williams tuzo 3, Beyonce tuzo 2 moja wapo yupo name Jay Z, Eminem tuzo 2, Kendrick Lamar Tuzo 1.

 

9 years ago

BBCSwahili

Carson:Musilamu hafai kuwa rais wa Marekani

Mwaniaji kiti cha chama cha Republican nchini Marekani,Ben Carson ameonya kuwa uislamu unakiuka katika ya nchi hiyo

 

9 years ago

Bongo5

T.I. aomba radhi baada ya kusema mwanamke hawezi kuwa rais wa Marekani!

T.I. amejikuta kwenye kitimoto baada ya kutania kuwa mwanamke hawezi kuwa rais wa Marekani. Baada ya maji kumfika shingoni, rapper huyo ameamua kuomba radhi. Wakati wa interview na DJ Whoo Kid wiki iliyopita, Tip alisema hawezi kumpigia kura Hillary Clinton kwasababu ni mwanamke. “Not to be sexist, but I can’t vote for the leader of […]

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete amteua Wilson Masilingi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani


Rais Kikwete amemhamisha Wilson Masilingi kutoka kuwa Balozi wa Tanzania Uholanzi na sasa anakuwa Balozi wa Tanzania Marekani kuchukua nafasi ya Liberata Mulamula. Nafasi ya Masilingi itajazwa na Irene Kisyanju aliyeteuliwa kuwa balozi Uholanzi akitokea wizara ya mambo ya nje.Aidha Rais amemteua Mkuu wa chuo cha ulinzi cha taifa Luten Jenerali Charles Makakala kuwa Balozi wa TZ Zimbabwe kuchukua nafasi ya Adadi Rajab alieteuliwa kuwa mgombea ubunge CCM huko Tanga.

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC. Mhe. Wilson Masilingi   Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho  Ikulu ya Marekani(White House).  Kutoka kushoto ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa Marekani Barack Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella Masilingi. Mke wa Balozi.

 

10 years ago

Michuzi

Chifu Wanzagi akanusha taarifa zilizoandikwa kuwa Makongoro hatoshi kuwa Rais

 Chifu wa Kabila la Wazanaki Japhet Wanzagi (wapili toka kulia)i akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya alichotaja kuwa ni upotoshwaji uliofanywa na gazeti moja la kila siku kuhusu taarifa za kutaja sifa za rais ajaye na kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais alidai taarifa za  kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais si za kweli bali amelishwa maneno).Wengine ni baaadhi ya wanafamilia na rafiki wa chifu huyo mapaema hii leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani