Mkenya aliyebadili jinsia ashinda kesi
Mahakama imemruhusu kubadilisha majina katika vyeti vyake vya mitihani ya elimu ya juu kutoka Andrew na kuwa Audrey.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV08 Oct
Aliyebadili jinsia ashinda kesi.
Mwanamke aliyebadili jinsia yake ya kiume na kuwa mwanamke na kutaka jina lake kubadilishwa kwenye cheti chake cha mtihani ameshinda kesi yake dhidi ya baraza la kitaifa la mitihani nchini Kenya.
Mahakama imelazimisha baraza hilo kumpa Adrey Mbugua cheti kipya kinachoonyesha hali yake mpya ya kijinsia hasa kwa kuwa anapokea matibabu ya kufanikisha jinsia yake kubadilika kabisa.
Bi Mbugua alilishitaki baraza la kitaifa la mitihani nchini humo kwa kukataa kubadililisha utambulisho wa...
10 years ago
BBCSwahili07 Oct
Aliyebadili jinsia ashinda kesi Kenya
10 years ago
Vijimambo07 Oct
ALIYEJIBADILI JINSIA ASHINDA KESI HUKO KENYA
Mwanamke aliyebadili jinsia yake ya kiume na kuwa mwanamke na kutaka jina lake kubadilishwa kwenye cheti chake cha mtihani ameshinda kesi yake dhidi ya baraza la kitaifa la mitihani nchini Kenya.Mahakama imelazimisha baraza hilo kumpa Adrey Mbugua cheti kipya kinachoonyesha hali yake mpya ya kijinsia hasa kwa kuwa anapokea matibabu ya kufanikisha jinsia yake kubadilika kabisa.
Bi Mbugua alilishitaki...
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
Mkenya ashinda tuzo ya Cane
10 years ago
BBCSwahili26 Oct
Mkenya ashinda mbio za Frankfurt
10 years ago
BBCSwahili21 Apr
Mkenya ashinda tuzo la Goldman
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Mkenya ashinda Tuzo ya CNN Afrika
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Dada Dj mkenya ashinda tuzo la Nollywood
10 years ago
MichuziNEWZ ALERT:JOHNSON LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI
Na Happiness Katabazi (UB)HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa Sh.Bilioni Sita Katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu(EPA), baada ya kumuona Hana hatia Katika Kesi iliyokuwa ikimkabili.
Hukumu hiyo Imetolewa Jaji wa Mahakama Kuu Edson Mkasimongwa aliyekuwa alisaidia na Hakimu Mkazi Pamela Mazengo....