Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Namibia apata Tuzo ya Mo Ibrahim

POHAMBAMwandishi Wetu na Mashirika ya Habari
RAIS anayemaliza muda wake nchini Namibia, Hifikepunye Pohamba, ameshinda tuzo ya Mo Ibrahim inayotolewa kwa kiongozi wa Afrika aliyeonyesha uongozi bora.
Tuzo hiyo yenye thamani ya dola za Marekani milioni tano (sawa na Sh bilioni 9.2 za Tanzania) ni kubwa zaidi duniani kutolewa kwa mtu mmoja mmoja.
Fedha hizo hutolewa kila mwaka kwa kiongozi wa kuchaguliwa aliyetawala vizuri kwa kuinua viwango vya maisha ya raia wake na kisha kuondoka madarakani kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Pohamba:ashinda tuzo ya 2014 ya Mo Ibrahim

Rais anayeondoka wa Naimbia Hifikepunye Pohamba,ameshinda tuzo ya dola milioni tano la Mo Ibrahim ya uongozi wa Afrika.

 

5 years ago

BBCSwahili

Rais Ibrahim Boubacar Keïta: Maelfu ya waandamanaji watoa wito kwa rais wa Mali kujiuzulu

Muungano wa makundi ya upinzani umepiga kambi mjini Bamako ukitaka mabadiliko ya kisasa na na kiuchumi

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Rais Uhuru Kenyatta mjini Windhoek, Alhaj Mwinyi na Mzee Mkapa waungana naye sherehe za kuapishwa rais mpya wa namibia

 .Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya jijini Windhoek Namibia ambapo walihudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa Namibia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akikutana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Hoteli ya Safari Court jijini Windhoek Namibia jana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi(kulia) na Benjamin William Mkapa(kushoto) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako jijini...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ampongeza Rais Mpya wa Namibia Dkt.Hague Geingob

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mpya wa Namibia Dkt.Hage Geingob wakati wa sherehe za kuapishwa kwake zilizofanyika katika Uwanja wa michezo wa Uhuru wa Namibia jijini Windhoek leo.Sherehe za kumuapisha Rais huyo wa tatu wa Namibia ziligongana na maadhimisho ya miaka 25 ya uhuru wa nchi hiyo.(picha na Freddy Maro)

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONANA NA RAIS MSTAAFU WA NAMIBIA MHE. SAM NUJOMA,IKULU JIJINI DAR LEO

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtembezea sehemu mbali mbali za Ikulu na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma aliyemtembelea leo April 27, 2014. Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru jana. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma Ikulu jijini Dar es salaam aliyemtembelea leo April 27, 2014. Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru...

 

10 years ago

Habarileo

Malala apata Tuzo ya Nobel

RAIA wa Pakistan, Malala Yousafzai na wa India, Kailash Satyarthi kwa pamoja leo wametunukiwa Tuzo ya Nishani ya Amani ya Nobel kwa juhudi zao za kupambana na ukandamizaji wa vijana na kutetea haki ya watoto kusoma.

 

9 years ago

Michuzi

MO APATA TUZO NYINGINE AFRIKA YA KUSINI


DSC_4663Mwanzilishi na mchapishaji wa jarida la Forbes Afrika, Bw. Rakesh Wahi ( wa pili kushoto) akikamkabidhi Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji (wa pili kulia) tuzo ya Heshima Barani Afrika "2015 Forbes Africa Person of the Year" iliyotolewa na Jarida la Forbes Afrika kwa kutambua mchango wake katika kusaidia jamii ikiwemo kutoa ajira kwa zaidi ya watu 26,000 nchini na mambo mengine yanayoigusa jamii. Wanaoshuhudia tukio hilo...

 

11 years ago

Habarileo

Mwandishi HabariLeo apata tuzo ya TANAPA

MWANDISHI wa HabariLeo, Iringa, Frank Leonard ametwaa tuzo ya kuandika vizuri habari za utalii wa ndani. Frank amekuwa mshindi wa pili kwa upande wa magazeti.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mengi apata tuzo ya mafaniko Afrika

MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi, amepata Tuzo ya Mafanikio ya Kutukuka Maishani (AABLA). Tuzo hiyo alikabidhiwa mwishoni mwa wiki katika fainali za CNBC All Africa Business...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani