Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mengi apata tuzo ya mafaniko Afrika

MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi, amepata Tuzo ya Mafanikio ya Kutukuka Maishani (AABLA). Tuzo hiyo alikabidhiwa mwishoni mwa wiki katika fainali za CNBC All Africa Business...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dk Reginald Mengi apata tuzo ya juu

Gavana wa Klabu za Lions kanda ya Tanzania na Uganda, Wilson Ndesanjo ( katikati) akimkabidhi tuzo ya juu iliyotolewa na klabu za kimataifa za lions kwa Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk Reginald Mengi, kwenye hafla ya kukabidhi tuzo hiyo jijini Dar es Salaam juzi. Gavana Ndesanjo amekabidhi tuzo hiyo kwa niaba ya Rais wa klabu hizo, Barry Palmer ambaye ametambua mchango mkubwa unaotolewa na Dk Mengi kwa jamii. Kushoto ni Gavana wa zamani wa kanda hiyo, Abdul Majjid Khan. 

 

10 years ago

Habarileo

Mengi atinga fainali Tuzo za Afrika

MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, amekuwa miongoni mwa wafanyabiashara wanne waliofikia fainali ya kuwania Tuzo ya Mwaka ya Mfanyabiashara Bora Afrika (AABLA) Kundi la Afrika Mashariki.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mengi aingia fainali tuzo ya mfanyabiashara bora Afrika

MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi ni miongoni mwa wafanyabiashara wanne waliofikia fainali ya kuwania Tuzo ya Mwaka ya Mfanyabiashara Bora Afrika (AABLA), kundi la Afrika Mashariki....

 

9 years ago

Michuzi

MO APATA TUZO NYINGINE AFRIKA YA KUSINI


DSC_4663Mwanzilishi na mchapishaji wa jarida la Forbes Afrika, Bw. Rakesh Wahi ( wa pili kushoto) akikamkabidhi Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji (wa pili kulia) tuzo ya Heshima Barani Afrika "2015 Forbes Africa Person of the Year" iliyotolewa na Jarida la Forbes Afrika kwa kutambua mchango wake katika kusaidia jamii ikiwemo kutoa ajira kwa zaidi ya watu 26,000 nchini na mambo mengine yanayoigusa jamii. Wanaoshuhudia tukio hilo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana kumpa tuzo Mengi

VIJANA 2,120 nchini wanatarajia kutoa tuzo kwa Mwenyekiti wa kampuni za IPP, Dk. Reginald Mengi, kutokana na mchango wake kwa watu wenye ulemavu na uzalendo kwa taifa. Ahadi hiyo imetolewa...

 

10 years ago

KwanzaJamii

Dk. Mengi ashinda tuzo mbili Nairobi

Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, ameibuka mshindi wa tuzo mbili kwenye fainali ya shindano la kuwania Tuzo ya Mwaka ya Mfanyabiashara Bora Afrika (AABLA) kundi la Afrika Mashariki. Sherehe za kutoa tuzo hizo zilifanyika jijini Nairobi, Kenya Jumamosi iliyopita. Dk. Mengi alitunukiwa Tuzo ya Mfanyabiashata Bora Afrika kwa mwaka 2014, kutoka kundi la Afrika Mashariki. Majaji wa shindano hilo pia waliamua kumtunuku...

 

10 years ago

Habarileo

Malala apata Tuzo ya Nobel

RAIA wa Pakistan, Malala Yousafzai na wa India, Kailash Satyarthi kwa pamoja leo wametunukiwa Tuzo ya Nishani ya Amani ya Nobel kwa juhudi zao za kupambana na ukandamizaji wa vijana na kutetea haki ya watoto kusoma.

 

11 years ago

Habarileo

Mwandishi HabariLeo apata tuzo ya TANAPA

MWANDISHI wa HabariLeo, Iringa, Frank Leonard ametwaa tuzo ya kuandika vizuri habari za utalii wa ndani. Frank amekuwa mshindi wa pili kwa upande wa magazeti.

 

10 years ago

Mtanzania

Rais Namibia apata Tuzo ya Mo Ibrahim

POHAMBAMwandishi Wetu na Mashirika ya Habari
RAIS anayemaliza muda wake nchini Namibia, Hifikepunye Pohamba, ameshinda tuzo ya Mo Ibrahim inayotolewa kwa kiongozi wa Afrika aliyeonyesha uongozi bora.
Tuzo hiyo yenye thamani ya dola za Marekani milioni tano (sawa na Sh bilioni 9.2 za Tanzania) ni kubwa zaidi duniani kutolewa kwa mtu mmoja mmoja.
Fedha hizo hutolewa kila mwaka kwa kiongozi wa kuchaguliwa aliyetawala vizuri kwa kuinua viwango vya maisha ya raia wake na kisha kuondoka madarakani kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani