Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dk Reginald Mengi apata tuzo ya juu

Gavana wa Klabu za Lions kanda ya Tanzania na Uganda, Wilson Ndesanjo ( katikati) akimkabidhi tuzo ya juu iliyotolewa na klabu za kimataifa za lions kwa Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk Reginald Mengi, kwenye hafla ya kukabidhi tuzo hiyo jijini Dar es Salaam juzi. Gavana Ndesanjo amekabidhi tuzo hiyo kwa niaba ya Rais wa klabu hizo, Barry Palmer ambaye ametambua mchango mkubwa unaotolewa na Dk Mengi kwa jamii. Kushoto ni Gavana wa zamani wa kanda hiyo, Abdul Majjid Khan. 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TAARIFA RASMI YA DKT. REGINALD A. MENGI MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP LIMITED YENYE KUJIBU MAELEZO YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA MUHONGO KUHUSU HODHI YA VITALU

Reginal Mengi. Baada ya Mkutano wa Baraza la Taifa la Biashara ((TNBC) uliofanyika tarehe 16 Desemba 2013, chini ya uenyekiti wa Mhe. Rais, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, sikutegemea kwamba Mhe. Profesa Muhongo angeendeleza mashambulizi dhidi yangu kwa sababu katika mkutano huo ambao ulikuwa na mafanikio makubwa tulifikia maamuzi ya kudumisha ushirikiano kati ya Serikali na Sekta Binafsi, kitu ambacho nimekuwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mengi apata tuzo ya mafaniko Afrika

MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi, amepata Tuzo ya Mafanikio ya Kutukuka Maishani (AABLA). Tuzo hiyo alikabidhiwa mwishoni mwa wiki katika fainali za CNBC All Africa Business...

 

5 years ago

BBCSwahili

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Mkewe Reginald Mengi adai kuzuiwa kuona kaburi la mumewe Tanzania

Mwaka mmoja baada ya kifo cha bilionea wa Tanzania Reginald Mangi, tayari kumeibuka mgogoro katika familia yake, baada ya mkewe Jacqueline Mengi kudai kwamnba amenyimwa kuona kaburi la mumewe.

 

10 years ago

Vijimambo

Bifu la Emelda Mwamanga wa Bang magazine na Reginald Mengi Kwa Kuvujisha Picha za Mengi na Familia yake


Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kupitia kwenye moja ya mahojiano ya kwenye kipindi maarufu cha Tv Hapa nchini .Mbali na kuelezea experience yake kwenye biashara yake, pia alizungumzia changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo kwenye biashara zake, moja ya changamoto alizozielezea ni ile ya kushtakiwa na mfanyabiashara maarufu nchini,...

 

10 years ago

IPPmedia

The MOAT chairman, Dr Reginald Mengi


IPPmedia
The MOAT chairman, Dr Reginald Mengi
IPPmedia
Attorney General George Masaju has assured media stakeholders that their views on the contentious Access to Information Bill, 2015 will not be ignored, insisting that he will ensure an inclusive process. Masaju made the statement yesterday in an exclusive ...

 

11 years ago

Michuzi

REGINALD MENGI FROM BAREFOOT TO $550 MILLION

Reginald Mengi,Meet Reginald Mengi , a Tanzanian conglomerate that owns 11 national newspapers (including Tanzania’s Financial Times, ThisDay and The Guardian), three of East Africa’s most popular television stations (EATV, Capital and ITV), and about ten radio stations. He also owns gold mines and Coca-Cola bottling plants in the country. His companies employ over 5,000 people in Tanzania and rank among the largest corporate taxpayers in Tanzania.  Mengi grew up poor in northern Tanzania, studied...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dk. Reginald Mengi azindua TASWE SACCOS jijini Dar

Keki ya Tanzania Saccos For Women Entrepreneurs ( TASWE – Saccoss), ‘WEKEZA UVUNE’.

IMG_3785

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Media, Dk. Reginald Mengi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tanzania Saccos For Women Entrepreneurs ( TASWE – Saccos) uliofanyika katika ukumbi wa St. Peter’s jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Tanzania Saccos For Women Entrepreneurs (TASWE – Saccoss), mama Anna Matinde na  Balozi Mdogo wa India, Baluinder Humpal. (Picha zote na Cathbert Angelo Kajuna wa Kajunason...

 

10 years ago

Vijimambo

DK. REGINALD MENGI AZINDUA TASWE SACCOSS JIJINI DAR

Keki ya Tanzania Saccos For Women Entrepreneurs ( TASWE - Saccoss), 'WEKEZA UVUNE'
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Media, Dk. Reginald Mengi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tanzania Saccos For Women Entrepreneurs ( TASWE - Saccoss) uliofanyika katika ukumbi wa St. Peter's jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Tanzania Saccos For Women Entrepreneurs (TASWE - Saccoss), mama Anna Matinde na  Balozi Mdogo wa India, Baluinder Humpal. Picha zote na Cathbert Angelp Kajuna wa Kajunason Blog.

 

9 years ago

Michuzi

DKT. REGINALD MENGI KUISADIA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC.


Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akizungumza jambo mara baada ya utamburisho wa mkurugenzi huyo.Dkt Mengi akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC.Mkurugenzi mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga akizungumza kuhusu ujenzi wa ngazi kuu za kungilia wodini katika hosptali ya Rufaa ya KCMC ambazo ujenzi wake uligharimu kiasi cha sh Mil 30 ,Fedha ambazo zilitolewa na Dkt Mengi.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani