TUZO ZA BET 2014: BEYONCE AKOMBA 3, PHARRELL, AUGUST, LUPITA WAPATA 2 KILA MMOJA
Pharrell Williams na Missy Elliot wakifungua shoo ya utoaji tuzo za BET usiku wa kuamkia leo jijini Los Angeles. Chris Brown akifanya makamuzi wakati wa utoaji tuzo za BET. WASHINDI WA TUZO HIZO NI KAMA IFUATAVYO: Best Female R&B/Pop Artist…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTUZO ZA BET 2014: DAVIDO ATWAA TUZO YA BEST AFRICAN ACT
Davido akiwa na tuzo yake. Mwanamuziki kutoka Nigeria, Davido ametwaa tuzo ya BET ya Best African Act iliyokuwa pia ikiwaniwa na msanii Diamond Platinumz wa Tanzania. Katika kundi hilo pia walikuwemo Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). Baada ya kutwaa tuzo hiyo, Davido aliandika hivi katika akaunti yake ya Instagram:… ...
11 years ago
GPL11 years ago
GPLDIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA TUZO ZA BET 2014, MPIGIE KURA ASHINDE
Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia 76.39 ya kura zote akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.17. Tuzo hizo zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani. KUMPIGIA KURA DIAMOND, INGIA HAPA: BET AWARD 2014… ...
11 years ago
GPLDIAMOND APAA TENA KIMATAIFA, ACHAGULIWA KUGOMBEA TUZO ZA BET 2014
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amechaguliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo za BET 2014 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa Kimataifa Afrika zitakazotolewa Juni 29 mwaka huu huko Los Angeles nchini Marekani. Katika kipengele hicho, Diamond anakwaana na: Davido (Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). ...
11 years ago
GPLFLORA AKOMBA KILA KITU
Stori: Waandishi Wetu MACHOZI upya! Habari halali kwa ubongo wako zinaeleza kwamba wakati mumewe, Emmanuel Mbasha (32) alipokuwa mahabusu, Dar kati ya Juni 15 hadi 17, mwaka huu, staa wa Gospo Bongo, Flora Mbasha (31) anadaiwa kwenda nyumbani na kukomba vitu vya ndani kuvipeleka kusikojulikana. Sehemu ya chumba cha kupumzikia kilichobakiwa na kochi na… ...
10 years ago
Bongo525 Aug
MTV VMA 2014: Jay Z na Blue Ivy walipopanda jukwaani kumkabidhi Beyonce tuzo na ‘kiss’ (picha)
Beyonce, Jay Z na binti yao Blue Ivy au waite The Carters, Jumapili (Agosti 24) kwenye tuzo za MTV VMA wameendelea kuthibitisha kuwa ni ‘happy family’ licha ya ripoti mbalimbali ambazo zimeendelea kutolewa kuhusu matatizo ya ndoa yao. Beyonce alishinda tuzo ya ‘Michael Jackson Video Vanguard Award’ kwenye tuzo za MTV VMA 2014. Lakini kubwa […]
10 years ago
Bongo525 Aug
MTV VMA 2014: Beyonce azoa tuzo nyingi zaidi, Drake, Eminem, Miley Cyrus pia washinda (orodha kamili)
Beyonce licha ya kupata tuzo ya ‘Michael Jackson Video Vanguard Award, ndiye aliyeshinda tuzo nyingi zaidi katika MTV VMA 2014 zilizofanyika Jumapili (Agosti 24), huko California, Marekani. Bey alishinda tuzo nyingine tatu, ‘Best Collaboration’ na Jay Z, ‘Best Video With a Social Message’ pamoja na ‘Best Cinematography’. Wengine walioshinda ni Drake, Miley Cyrus, Eminem na […]
10 years ago
VijimamboDICOTA 2014 CONVENTION GALA DINNER YAFANA, WADHAMINI, WADAU DIASPORA WAPATA VYETI NA TUZO
FASHION SHOW NI BALAA Msanii wa vichekesho Masanja Mkandamizaji akisalimia wadau kwa kuwavunja mbavu kwenye DICOTA 2014 Gala Dinner iliyofanyika Ijumaa usiku Oct 3, 2014 katika Hotel ya Millennium Durham, North Carolina nchini Marekani kwenye Gala Dinner kulitolewa vyeti kwa wadhamini wa ndani na nje ya Marekani waliowezesha DICOTA 2014 Convention kuwa ya mafanikio.
Waliowezesha DICOTA 2014 Convention kupata mafanikio kuanzia uongozi wa juu wa DICOTA mpaka kamati ya maandalizi wakaazi wa...
Waliowezesha DICOTA 2014 Convention kupata mafanikio kuanzia uongozi wa juu wa DICOTA mpaka kamati ya maandalizi wakaazi wa...
10 years ago
Bongo520 Sep
Watu 6 wafungwa jela mwaka mmoja kwa kucheza wimbo wa ‘Happy’ wa Pharrell
Watu sita nchini Iran waliokamatwa baada ya kuonekana kwenye kanda ya video iliyokuwa inaiga wimbo wa ‘Happy’ wake mwanamuziki Pharrell William, wamehukumiwa kifungo cha hadi mwaka mmoja jela kila mmoja pamoja na adhabu ya kuchapwa mijeledi 91. Wakili wa watu hao amesema kuwa hukumu hiyo itaahirishwa kwa miezi sita ikimaanisha kuwa watafungwa tu jela ikiwa […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania