Watu 6 wafungwa jela mwaka mmoja kwa kucheza wimbo wa ‘Happy’ wa Pharrell
Watu sita nchini Iran waliokamatwa baada ya kuonekana kwenye kanda ya video iliyokuwa inaiga wimbo wa ‘Happy’ wake mwanamuziki Pharrell William, wamehukumiwa kifungo cha hadi mwaka mmoja jela kila mmoja pamoja na adhabu ya kuchapwa mijeledi 91. Wakili wa watu hao amesema kuwa hukumu hiyo itaahirishwa kwa miezi sita ikimaanisha kuwa watafungwa tu jela ikiwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Feb
Jela mwaka mmoja kwa kuishi nchini kinyemela
RAIA wa Nigeria Amos Emeka (41) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya Sh 100,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuishi nchini bila kibali.
5 years ago
MichuziMwandishi wa habari ahukumiwa jela mwaka mmoja au faini ya shilingi milioni tano kwa kosa la kutoa maudhui kwenye mtandao wa youtube bila leseni
Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe imemtia hatiani na kumhukumu kulipa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo Cha Mwaka mmoja jela Mwandishi wa habari Prosper Mfugale baada ya mwandishi huyo kukiri kutoa maudhui Katika Mtandao wa YouTube bila ya kuwa na leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA), hata hivyo Mfugale amelipa faini hiyo na kuachiwa huru.
Mfugale alikamatwa mnamo Februari 29 Mwaka huu na kushikiliwa kwa siku nne kituo cha polisi Njombe na tarehe 4 Machi alifunguliwa...
10 years ago
Habarileo01 Aug
Basata yamtupa ‘jela’ Shilole mwaka mmoja
BARAZA la Sanaa Tanzania (BASATA) limemfungia mwanamuziki Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kujihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa mwaka mmoja ndani ya nchi na nje.
10 years ago
BBCSwahili16 Mar
'I am Happy' Pharrell taabani tena
10 years ago
Vijimambo
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe AHUKUMIWA Jela Mwaka Mmoja.


11 years ago
Mwananchi28 Jan
Wafungwa miaka 56 jela kwa kuharibu mali
11 years ago
BBCSwahili21 May
Walioiga wimbo wa Pharrell wakamatwa Iran