Video: Cassper Nyovest, Boity, Bonang wanga’ra kwenye tuzo za mitandao ya kijamii za Channel24
Shirika la habari la Channel 24 la Afrika Kusini limetangaza washindi wa tuzo zake za online (Channel24 Online Awards).
Tuzo hizo zilikuwa na vipengele 10.
Baadhi ya washindi ni pamoja na Bonang Matheba aliyeshinda tuzo ya jumla ya uwepo kwenye mitandao ya kijamii.
Cassper Nyovest ameshinda Best YouTube video na Best Couple akiwa na Boity huku Roxy Burger amechukua tuzo ya Best Selfie.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo505 Nov
Baada #FillUpTheDome: Cassper Nyovest na mpenzi wake Boity watu Zanzibar kwa mapumziko
![11909379_157693274584538_1539332956_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11909379_157693274584538_1539332956_n-300x194.jpg)
Amevunja rekodi ya muziki wa Afrika Kusini kwa kujaza ukumbi unaochukua watu 20,000 jijini Johannesburg (October 31) na kupongezwa na Rais Jacob Zuma, amepata deal nono la ubalozi wa MTN, ana demu mkali, unadhani Cassper Nyovest anahitaji nini zaidi ya vacation au baecation kama anavyoiita yeye?
Cassper Nyovest na mpenzi wake Boity
Na ni sehemu gani nyingine hapa Afrika yenye mandhari na hali ya hewa ya kuvutia zaidi ya Zanzibar? Upepo wa marashi ya pemba unaosambazwa na mawimbi ya kuvutia...
9 years ago
Bongo509 Nov
Picha: Cassper Nyovest aendelea kula bata Zanzibar na mpenzi wake Boity, aitosa show ya Maftown Heights
![12224667_784132751713827_1656881668_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12224667_784132751713827_1656881668_n-300x194.jpg)
Rapper anayezungumzwa zaidi nchini Afrika Kusini kwa sasa, Cassper Nyovest anaendelea kujipongeza na kufurahia mafanikio baada ya show yake ya #FillUpTheDome kwa vacation ndefu visiwani Zanzibar.
Rapper huyo na mpenzi wake Boity, bado wameendelea kufurahia mandhari za kuvutia za bahari ya Hindi visiwani humo kwenye hoteli za kitalii.
Kurasa zao za Instagram zinaonesha jinsi wanavyofurahia kwenye kisiwa hicho ikiwa ni pamoja na kula vyakula maarufu vya baharini.
Katika hatua nyingine,...
9 years ago
Bongo511 Sep
Cassper Nyovest ajiondoa kuwania nafasi ya kuingia kwenye tuzo za MTV EMA ambazo Diamond ni Nominee!
9 years ago
Bongo531 Aug
Video: Salma wa BSS 2013 aungana na Mi Casa Cassper Nyovest, Donald, Oliver Mtukudzi kwenye Coke Studio SA
10 years ago
Bongo501 Dec
Mambo mawili ambayo Cassper Nyovest na Diamond walifanana siku ya tuzo za Channel O
10 years ago
Bongo519 Sep
New Video: Cassper Nyovest — Phumakim
9 years ago
Bongo531 Oct
Video: Cassper Nyovest — No Worries
![Cassper-Nyovest-Ashes2Ashes-428-To-SA-640x431](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Cassper-Nyovest-Ashes2Ashes-428-To-SA-640x431-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo519 Oct
Video: Cassper Nyovest — Travel The World
9 years ago
Bongo516 Oct
Rapper wa S.A Cassper Nyovest amshirikisha rapper wa U.S.A The Game kwenye album yake mpya, ‘Refiloe’