Video: Salma wa BSS 2013 aungana na Mi Casa Cassper Nyovest, Donald, Oliver Mtukudzi kwenye Coke Studio SA
Aliyewahi kuwa mshindi wa pili kwenye mashindano ya Bongo Star Search mwaka 2013, Salma Yusuf ameungana na mastaa wa Afrika Kusini kwenye msimu mpya na wa kwanza wa Coke Studio South Africa. Salma Yusuf (wa pili kutoka kulia) aliwahi kuwa muimbaji wa Skylight Band Show ya kwanza ilioneshwa wiki iliyopita na kuwashirikisha wasanii wakubwa wakiwemo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Nov
Video: Cassper Nyovest, Boity, Bonang wanga’ra kwenye tuzo za mitandao ya kijamii za Channel24

Shirika la habari la Channel 24 la Afrika Kusini limetangaza washindi wa tuzo zake za online (Channel24 Online Awards).
Tuzo hizo zilikuwa na vipengele 10.
Baadhi ya washindi ni pamoja na Bonang Matheba aliyeshinda tuzo ya jumla ya uwepo kwenye mitandao ya kijamii.
Cassper Nyovest ameshinda Best YouTube video na Best Couple akiwa na Boity huku Roxy Burger amechukua tuzo ya Best Selfie.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata...
11 years ago
Bongo505 Oct
Video: Shaa na Jackie wapoteza mbaya kwenye Coke Studio na ‘Subira’
11 years ago
Bongo519 Sep
New Video: Cassper Nyovest — Phumakim
10 years ago
Bongo531 Oct
Video: Cassper Nyovest — No Worries

10 years ago
Bongo519 Oct
Video: Cassper Nyovest — Travel The World
10 years ago
Bongo511 Sep
Cassper Nyovest ajiondoa kuwania nafasi ya kuingia kwenye tuzo za MTV EMA ambazo Diamond ni Nominee!
10 years ago
Bongo516 Oct
Rapper wa S.A Cassper Nyovest amshirikisha rapper wa U.S.A The Game kwenye album yake mpya, ‘Refiloe’
10 years ago
Bongo503 Oct
Music: Cassper Nyovest aendeleza mashambulizi kwa AKA kwenye diss track mpya ‘Dust 2 Dust’
9 years ago
Dewji Blog04 Dec
Shangwe za Coke Studio zaendelea kuleta burudani kwenye jamii
Mwanamuziki Fid Q akitoa burudani katika moja ya tamasha la Coke Studio.
Mwanamuziki Ali Kiba na Victoria Kimani wakiwa katika onyesho la Coke Studio.
Wasanii wa muziki wakitoa burudani katika moja ya tamasha la Coke Studio mkoani Mwanza.
Wanafunzi kuanzia shule za msingi nchini hadi vyuo vikuu wameshiriki kuonyesha vipaji vyao katika msimu huu wa Coke Studio kama wanavyoonekana katika moja ya tamasha la Coke Studio.
-Wanafunzi na vijana mitaani waendelea kupata burudani
Onyesho la...