Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond atajwa kuwania tuzo za IRAWMA, Marekani kupitia ‘Mdogo mdogo’, anachuana na Davido, Awilo Longomba na Bracket

Kwa mara nyingine Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine za kimataifa nchini Marekani, ambapo safari hii wimbo wake wa ‘Mdogo mdogo’ wenye miezi miwili tangu utoke umemuwezesha kuingia kwenye tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards). Wimbo wa ‘Mdogo mdogo’ wa Diamond umeingia kwenye tuzo hizo katika kipengele cha ‘Best African Song/Entertainer’. Kwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Diamond achaguliwa kuwania tuzo mbili za IRAWMA 2015 za Marekani

Diamond Platnumz anaendelea kupata nominations za tuzo mbalimbali ndani na nje ya Afrika, ambapo hivi sasa amechaguliwa kuwania tuzo mbili za International Reggae and World Music Awards (IRAWMA) 2015 za Marekani. Baba Tiffah amechaguliwa kuwania kipengele cha ‘Best African Song’ kupitia wimbo wake ‘Nana’ aliomshirikisha Flavour wa Nigeria, pamoja na ‘Best African Entertainer’. “Alhamdulilah… ndugu […]

 

10 years ago

Bongo5

Best African Entertainer: Diamond ambwaga Davido kwenye tuzo za IRAWMA

Diamond Platnumz amewabwaga Davido, Awilo Longomba, Willy Paul Msafi (Kenya) na Eddy Kenzo wa Uganda na kushinda kipengele cha ‘mtumbuizaji bora wa Afrika – Best African Entertainer kwenye tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards). “It always seems impossible until it’s Done!…ningependa kuwataarifu Wadau wangu kwamba #MdogoMdodo ndio nyimbo bora yenye Mahadhi ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Muongozaji wa filamu wa Tanzania atajwa kuwania tuzo za Marekani

Muongozaji wa filamu wa Tanzania, Timoth Conrad ametajwa kuwania tuzo za Marekani, California Online Viewers Choice Awards. Pia filamu yake Dogo Masai imechaguliwa kuwania tuzo hizo zitakazofanyika jijini Los Angeles. “Nimechaguliwa kuwania tuzo ya BEST DIRECTOR na pia filamu ya Dogo Masai inawania BEST FEATURE FILM,” ameandika kwenye Facebook. “Ninaomba sapoti yenu katika kunipigia. Unaweza […]

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO NYINGINE NIGERIA

Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine za kimataifa zinazofahamika kama ‘THE HEADIES 2014’, ambazo ni tuzo kubwa nchini Nigeria. Nasib Abdul ametajwa kuwania kipengele cha Msanii Bora wa Afrika (Best African Arstist) ambacho kinawaniwa na wasanii wa nje ya Nigeria. Katika kipengele hicho anashindana na Mafikizolo, Sarkodie na R2Bees.CREDIT:THECHOICE

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO ZA CHOAMVA 2014

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platinumz'. Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA mwaka huu. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platinumz' ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTED NEWCOMER, MOST GIFTED AFRO POP na MOST GIFTED EAST. Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi, tarehe 29 November, Nasrec Expo Centre mjini Soweto, Afrika Kusini....

 

10 years ago

Bongo5

P-Square ni mashabiki wa ‘Nitampata Wapi’ na Mdogo Mdogo za Diamond

Unataka kuyakuna masikio ya P-Square? Usiimbe kwa kuchanganya na ladha ya Nigeria, imba Bongo Flava halisi! Hilo ndio somo ambalo Diamond amelipata wiki hii kutoka kwa Peter na Paul Okoye. Msanii wa kundi la P-Square, Peter Okoye akibadilisha mawazo na Diamond Platnumz Diamond pamoja na wasanii hao nguli wa Afrika na wengine wakiwemo Flavour na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani