DIAMOND PLATINUMZ ATAJWA KUWANIA NEA AWARDS 2015 NCHINI NIGERIA
![](http://api.ning.com:80/files/Wib7New*847-JOg-2UDNG-0wHBUi7HBS2YnoDg8K6B3UoHNnvxSnSJ6rp25IxW4YvptAmwvG82susc5jD-if11fsyzd8dKXu/10985052_855964467785728_8284829864472226266_n.jpg?width=650)
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond'. AFRICAN ARTIST: Eddie kenzo Sauti Sol Diamond Platnumz Sarkodie Stonebwoy AKA Mzvee HOTTEST SINGLE: Kiss Daniel – Woju Lil Kesh – Shoki Remix Ft Olamide & Davido Mavins – Dorobucci Wizkid – Ojuelegba Skales – Shake Body BEST NEW ACT: Kiss Daniel Lil Kesh Di’ja CDQ Ayo Jay Falz Korede… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo522 Aug
Diamond atajwa kuwania ‘African Youth Choice Awards’ za Nigeria
9 years ago
Bongo530 Sep
Diamond atajwa kuwania tuzo zingine Nigeria, ‘The African Entertainment Legend Awards’ (AELA)
9 years ago
Bongo507 Sep
Eddie Kenzo ashinda ‘African Artist of The Year’ aliyokuwa akiwania na Diamond katika tuzo za ‘Nigeria Entertainment Awards’ 2015 (NEA)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9fGLGOI8QUDfLdhNqhkGmOME5FkQrVeGwhXqZ7VpntC1cvUW4zttPqxLDDR3aCtPbH7F5FO3WZNwacE8u9sApZA/diamonzzz.jpg?width=650)
DIAMOND PLATINUMZ ATAJWA KUWANIA TUZO YA 'RADIO AFRO AUSTRALIA SONG OF THE YEAR 2014’
10 years ago
Bongo528 Feb
Diamond atajwa kuwania kipengele cha ‘African Artiste of The Year’ kwenye Ghana Music Awards
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-pc6BPIjaF10/VCw9KlwsDRI/AAAAAAAAqSo/JzK-dJ913ik/s72-c/PLATINUM56.jpg)
DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO NYINGINE NIGERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-pc6BPIjaF10/VCw9KlwsDRI/AAAAAAAAqSo/JzK-dJ913ik/s640/PLATINUM56.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-CAo4F8KRl5g/VCw9HEWDRJI/AAAAAAAAqSY/jYY1mtktsQc/s640/headies-2014.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-HPvsEAtb8H4/VCw9HWzJZQI/AAAAAAAAqSc/4ZNzm7l1xIQ/s1600/headies.jpg)
9 years ago
Bongo509 Dec
Diamond na Vanessa watajwa kuwania tuzo za ‘TooXclusive Awards 2015’ za Nigeria
![Diamond Platnumz na Vanessa Mdee](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Diamond-Platnumz-na-Vanessa-Mdee-300x194.jpg)
Mtandao wa ku-download muziki tooXclusive.com wa Nigeria ambao ndio waandaaji wa tuzo za ‘TooXclusive Awards 2015’ wametangaza majina ya nominees wa mwaka huu.
Kuna jumla ya vipengele 18 vinavyoshindaniwa, na kipengele cha ‘African Artiste Of The Year’ ndio kinachowahusu wasanii wa nje ya Nigeria ikiwemo Tanzania.
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ndio wasanii wa Tanzania wanaoshindana na Sauti Sol (Kenya), Sarkodie (Ghana), Cassper Nyovest na AKA (South Africa).
AFRICAN ARTISTE OF THE...
10 years ago
Bongo512 Dec
Diamond na Ommy Dimpoz watajwa kuwania tuzo za HiPipo Music Awards 2015 za Uganda
9 years ago
Bongo511 Nov
Kundi la Navy Kenzo lachaguliwa kuwania tuzo za ‘Top Naija Music Awards 2015’ za Nigeria
Kundi la Navy Kenzo limechaguliwa kuwania kipengele cha Kundi Bora La Muziki katika tuzo za ‘Top Naija Music Awards 2015’ za Nigeria.
Makundi mengine ya Nigeria ambao yanawania kipengele kimoja na Navy Kenzo ni Dupi 2, Connect Music Group (Cmg), Ace Republic, Dp-Kings na Betrose.
Kura zimeanza kupigwa November 8, 2015 na zitafungwa December 31, 2015. Washindi wa tuzo hizo watatangazwa January 2, 2016 na sherehe ya utolewaji wa tuzo itafanyika January 26, 2016 jijini Lagos, Nigeria.
Navy...