Diamond anusurika kichapo Ujerumani
MSANII nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz,’ mwishoni mwa wiki alinusurika kichapo kutoka kwa mashabiki wenye hasira wakikerwa kuchelewa kwake kupanda jukwaani kutumbuiza, mjini Stuttgart, Ujerumani....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziAnusurika kichapo mbele ya waombolezaji makaburini kwa kuto kuhudhuria misibani
Kijana huyo amejikuta katika wakati mgumu baada ya wanakijiji kukamilisha mazishi ya mama yake mzazi ambapo mwenyekiti wa kijiji cha Wenda Denis Mpogole akaamuru familia ya bwana...
10 years ago
GPLDIAMOND MARUFUKU UJERUMANI
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Diamond azua balaa Ujerumani
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
Promota wa Diamond mbaroni Ujerumani
POLISI nchini Ujerumani wamefanikiwa kumtia mbaroni promota Awin Williams Akpomie, aliyeratibu shoo ya mwanamuziki wa Tanzania, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ iliyokuwa ifanyike Agosti 30, mjini Stuttgart na kushindwa kufanyika. Shoo...
10 years ago
Tanzania Daima10 Sep
Diamond arudi tena Ujerumani
SIKU chache baada ya kushindwa kufanya shoo mjini Stuttgart, nchini Ujerumani, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ ameandaa shoo nyingine nchini humo. Shoo hiyo itafanyika...
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Diamond ajivunia vurugu za Ujerumani
MASANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amesema vurugu zilizotokea hivi karibuni nchini Ujerumani, haoni kama zimemchafua kwa namna yeyote na badala yake zimempa nafasi ya...
10 years ago
GPLVURUGU UJERUMANI, KUKAMATWA PROMOTA SIRI 7 ZAFICHUKA SHOO YA DIAMOND