Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Anusurika kichapo mbele ya waombolezaji makaburini kwa kuto kuhudhuria misibani

Kijana Mmoja aliyefahamika kwa jina la Damian Lawa mkazi wa kijiji cha Wenda halmashauri ya wilaya ya Iringa amenusurika kuchapwa viboko Makaburini mbele ya waombolezaji katika mazishi ya mama yake Mzazi Telesia Mvuma kutokana na tuhuma za kutokuwa na utamaduni wa kuhudhuria misiba inayotokea katika eneo hilo.

Kijana huyo amejikuta katika wakati mgumu baada ya wanakijiji kukamilisha mazishi ya mama yake mzazi ambapo mwenyekiti wa kijiji cha Wenda Denis Mpogole akaamuru familia ya bwana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Diamond anusurika kichapo Ujerumani

MSANII nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz,’ mwishoni mwa wiki alinusurika kichapo kutoka kwa mashabiki wenye hasira wakikerwa kuchelewa kwake kupanda jukwaani kutumbuiza, mjini Stuttgart, Ujerumani....

 

5 years ago

Bongo5

Juventus na Monaco mbele kwa mbele UEFA, Barca na Dortmund nje

Timu za Juventus na Monaco zimefanikiwa kufuzu katika hatua ya nusu fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya (Uefa) usiku wa Jumatano huku zikiungana na Real Madrid na Atletico Madrid ambazo zilifuzu katika hatua hiyo siku ya Jumanne.

Juventus imefanikiwa kuingia katika hatua hiyo kwa kuitoa Barcelona ya Hispania kwa jumla ya mabao 3-0 ambayo walishinda katika mchezo wao wa kwanza wiki iliyopita huku katika mchezo wa jana wakitoka sare ya 0-0.

Nao Monaco wametinga hatua hiyo kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Simba SC yatakata Mkoani Tanga, Mbeya City taabani, Azam Fc mbele kwa mbele!!

SIMBaaaaaKikosi cha Simba SC kilichoifunga 1-0 African Sports leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga (Picha kwa hisani ya mtandao wa http://www.binzubeiry.co.tz

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wamevunja mwiko wa kutoshinda kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga baada ya kuigaragaza African Sports kwa bao 1-0.

Simba leo iliingia katika mchezo huo ikiwa na presha baada ya kutoshinda mchezo wowote kwenye uwanja huo kwa miaka mitatu mfulilizo. Bao la Simba katika mchezo huo limefungwa na...

 

9 years ago

GPL

SHABIB: CCM GAIRO MBELE KWA MBELE

Mgombea Ubunge wa jimbo la Gairo kwa tiketi ya CCM, Ahmed Shabiby. “Nimeamua kugombea tena ubunge kwa sababu najua wananchi wa Gairo wananihitaji, mafanikio makubwa niliyowaletea katika kipindi chote nilichokuwa mbunge yamewafurahisha na wanaamini kwamba mimi ndiye mkombozi wao. “Kwa kipindi chote nilichokuwa madarakani nimeshafanya mambo mengi ya kuwasaidia wananchi na wao ni mashahidi wa hilo ndiyo maana...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe: Ukawa sasa ni mbele kwa mbele

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kamwe hautarudi nyuma katika makubaliano yaliyofikiwa juzi, likiwamo la kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi mbalimbali za uongozi.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa mbele kwa mbele

Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi, yanaonyesha kuimarika kwa upinzani nchini baada ya kupata viti vingi vya uenyekiti wa mitaa na vijiji, pamoja na mamia ya wajumbe wa Serikali husika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Pistorius kuto shiriki mashindano

Kamati ya Olimpiki ya Walemavu imesema mwanariadha Oscar Pistorius hatashiriki mashindano ya walemavu hata akitoka gerezani

 

10 years ago

BBCSwahili

Sunderland wafurahia kuto shuka daraja

Klabu ya Sunderland na Arsenal jana wametunushiana misulu baada ya kutoka 0-0 na hivyo kufanikiwa kuto shuka daraja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani