Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sunderland wafurahia kuto shuka daraja

Klabu ya Sunderland na Arsenal jana wametunushiana misulu baada ya kutoka 0-0 na hivyo kufanikiwa kuto shuka daraja.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Sunderland wafurahia kubaki ligi kuu Uingereza.

Klabu ya Sunderland na Arsenal jana wametunushiana misuli baada ya kutoka 0-0 na hivyo kufanikiwa kuondoa mashaka ya kushuka daraja msimu huu katika ligi ya England.

Hata hivyo kwa matokeo hayo Arsenal wanashika nafasi ya tatu nyuma ya Manchester City katika ligi hiyo inayomalizika.

Hata hivyo katika mchezo huo Sunderland wanapaswa kujilaumu kwa nafasi ambayo walipata na kushindwa kuitumia kupitia mshambuliaji wake Steven Fletcher.

Mlinda mlango Costel Pantilimon ndiye aliyeibuka shujaa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Pistorius kuto shiriki mashindano

Kamati ya Olimpiki ya Walemavu imesema mwanariadha Oscar Pistorius hatashiriki mashindano ya walemavu hata akitoka gerezani

 

5 years ago

Michuzi

Anusurika kichapo mbele ya waombolezaji makaburini kwa kuto kuhudhuria misibani

Kijana Mmoja aliyefahamika kwa jina la Damian Lawa mkazi wa kijiji cha Wenda halmashauri ya wilaya ya Iringa amenusurika kuchapwa viboko Makaburini mbele ya waombolezaji katika mazishi ya mama yake Mzazi Telesia Mvuma kutokana na tuhuma za kutokuwa na utamaduni wa kuhudhuria misiba inayotokea katika eneo hilo.

Kijana huyo amejikuta katika wakati mgumu baada ya wanakijiji kukamilisha mazishi ya mama yake mzazi ambapo mwenyekiti wa kijiji cha Wenda Denis Mpogole akaamuru familia ya bwana...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA UJENZI KUJENGA DARAJA JIPYA LITAKALOPITA BAHARINI PEMBEZONI MWA DARAJA SELANDER

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa pembezoni mwa daraja Selander kuanzia hospitali ya Aghakan hadi barabara Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo pekee litakuwa na urefu wa km 1.03 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Serikali ya Korea Kusini pamoja na Wizara ya Ujenzi mara baada ya kusaini Mkataba wa Muhtasari wa Majadiliano leo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NHIF yakabidhi shuka za mil. 3.5/-

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani Tabora, umeikabidhi Hospitali ya Rufaa Kitete msaada wa shuka 150 zenye thamani ya sh milioni 3.5. Akikabidhi msaada huo, Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga SC yakumbuka shuka mapambazuko

BAADA ya kutulizwa na maafande wa Mgambo JKT katika mchezo uliopita, mabingwa watetezi Yanga, jana walizinduka na kuwashushia kichapo cha mabao 5-1 JKT Ruvu katika mechi ya Ligi Kuu ya...

 

10 years ago

Habarileo

Diwani aadhibiwa kufua shuka za hospitali

DIWANI wa Kata ya Kasanda wilayani Kakonko, Dickson Barutwa (40) wa Chadema na wenzake watatu, wamehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Kibondo mkoani hapa adhabu ya kufua shuka za wagonjwa katika hospitali ya wilaya ya Kakonko na kuzibua mitaro ya barabarani kwa siku 14 baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu.

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi ajiua kwa shuka hospitalini

KATIKA hali isiyotarajiwa, mwanafunzi wa Kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari ya Wavulana Ihungo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Ezra Gerald (19), amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shuka ya hospitali, alikokuwa amelazwa kwa kile kinachoeleza alikuwa anasumbuliwa na homa ya matumbo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM inakumbuka shuka wakati kumekucha

MWANAHARAKATI Martine Luther King, aliwahi kusema, “ukimya wa rafiki yako unaumiza sana kuliko kelele za adui yako”. Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyotakiwa iwe rafiki wa wananchi kwa muda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani