Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHABIB: CCM GAIRO MBELE KWA MBELE

Mgombea Ubunge wa jimbo la Gairo kwa tiketi ya CCM, Ahmed Shabiby. “Nimeamua kugombea tena ubunge kwa sababu najua wananchi wa Gairo wananihitaji, mafanikio makubwa niliyowaletea katika kipindi chote nilichokuwa mbunge yamewafurahisha na wanaamini kwamba mimi ndiye mkombozi wao. “Kwa kipindi chote nilichokuwa madarakani nimeshafanya mambo mengi ya kuwasaidia wananchi na wao ni mashahidi wa hilo ndiyo maana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo5

Juventus na Monaco mbele kwa mbele UEFA, Barca na Dortmund nje

Timu za Juventus na Monaco zimefanikiwa kufuzu katika hatua ya nusu fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya (Uefa) usiku wa Jumatano huku zikiungana na Real Madrid na Atletico Madrid ambazo zilifuzu katika hatua hiyo siku ya Jumanne.

Juventus imefanikiwa kuingia katika hatua hiyo kwa kuitoa Barcelona ya Hispania kwa jumla ya mabao 3-0 ambayo walishinda katika mchezo wao wa kwanza wiki iliyopita huku katika mchezo wa jana wakitoka sare ya 0-0.

Nao Monaco wametinga hatua hiyo kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Simba SC yatakata Mkoani Tanga, Mbeya City taabani, Azam Fc mbele kwa mbele!!

SIMBaaaaaKikosi cha Simba SC kilichoifunga 1-0 African Sports leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga (Picha kwa hisani ya mtandao wa http://www.binzubeiry.co.tz

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wamevunja mwiko wa kutoshinda kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga baada ya kuigaragaza African Sports kwa bao 1-0.

Simba leo iliingia katika mchezo huo ikiwa na presha baada ya kutoshinda mchezo wowote kwenye uwanja huo kwa miaka mitatu mfulilizo. Bao la Simba katika mchezo huo limefungwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe: Ukawa sasa ni mbele kwa mbele

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kamwe hautarudi nyuma katika makubaliano yaliyofikiwa juzi, likiwamo la kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi mbalimbali za uongozi.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa mbele kwa mbele

Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi, yanaonyesha kuimarika kwa upinzani nchini baada ya kupata viti vingi vya uenyekiti wa mitaa na vijiji, pamoja na mamia ya wajumbe wa Serikali husika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ronaldo mbele kwa ufuasi Facebook

Ronaldo ametajwa kwa mchezaji wa kwanza kufikisha wafuasi milioni miamoja kwenye mtendano wa kijamii wa Facebook.

 

10 years ago

Michuzi

WATIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI KUPITIA CCM WAJINADI MBELE YA WAJUMBE KATA YA MAWENZI

Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini Priscus Tarimo akijinadi mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Edmund Rutaraka akiomba kura mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha aijinadi mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Mapinduzi kata ya Mawenzi wakiwasikiliza wagombea.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri auawa kwa kusinzia mbele ya rais

Waziri wa ulinzi wa Korea Kaskazini ameuawa kwa kutokuwa muaminifu kwa kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong-un.

 

11 years ago

BBCSwahili

Chama cha ANC mbele kwa kura

Chama tawala cha ANC kinaongoza kwa zaidi ya asilimia 63%, huku kile cha Democratic Alliance kikiwa na asilimia 23% katika uchaguzi mkuu wa urais.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani