Abiria 300 wa boti wanusurika ajali ya moto
NA MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM
ABIRIA 300 wamenusurika kufa baada ya Boti ya Royal waliyokuwa wakisafiria kutoka Kisiwa cha Unguja kwenda Pemba baada ya boti hiyo mali ya Kampuni ya Ocean Enterprises kuwaka moto ikiwa baharini.
Tukio hilo lilitokea nyakati za mchana katika eneo la Matumbini wakati ikielekea kuwasili katika Bandari ya Mkoani, Kisiwani Pemba.
Akizungumza na MTANZANIA kwa njia ya simu jana kutoka Unguja, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri Zanzibar, Omar Maalim alisema ajali...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo516 Dec
Picha: Abiria 300 wanusurika kifo baada ya meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba kuungua moto
![20151216043112](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/20151216043112-300x194.jpg)
Abiria waliokuwa wamependa meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba wamenusurika kifo baada ya meli hiyo kuungua moto.
Abiria waliokuwa kwenye meli ya Royal wakijiokoa
Tukio hilo limetokea asubuhi Jumatano hii.
Hata hivyo meli ya Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba kwenda Unguja iliikuta meli hiyo njia na kusaidia shughuli za uzimaji moto na uokozi wa abiria waliokuwa kwenye meli hiyo.
Meli hiyo ilikuwa na abiria 300 wakiwemo watoto 70.
Meli ya Serengeti ikiivuta MV Royal
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u-nuBgwJg3zFsJV0XWKWVFlZlYZnQvXorfPlH8Ly-3wiAsDHhFgT*I*03W29TZcqvLAsgWdB8NccL3dqaSryIA-8pDZ74H7b/ajali4.jpg?width=650)
ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MLIMA NYOKA, MBEYA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eIRk9In8txY/VIFjFJSkq3I/AAAAAAAG1W8/QVNKDacK3bA/s72-c/10671229_947072891986888_1214725897795206556_n.jpg)
NEWS ALERT: ZAIDI YA ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO AJALI YA BASI
![](http://1.bp.blogspot.com/-eIRk9In8txY/VIFjFJSkq3I/AAAAAAAG1W8/QVNKDacK3bA/s1600/10671229_947072891986888_1214725897795206556_n.jpg)
10 years ago
Habarileo14 Apr
Abiria ajali ya moto wazikwa kaburi moja
MAELFU ya wakazi wa Tarafa ya Kidatu wilaya ya Kilombero na Mikumi, wilayani Kilosa mkoani Morogoro, walijawa na simanzi kubwa zilizotawaliwa na vilio wakati wa maziko ya miili ya watu 15 waliozikwa jana kwenye kaburi moja, ikiwa ni siku moja baada ya kufa kwa kuteketea kwa moto baada ya basi walilokuwa wakisafiria la Kampuni ya Nganga Express kulipuka lililopogongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/knSjhwKOr7tzckYoqFijl*dtSpviWwVFto-tCr4xLZkx8P1xqFLa7AEGMzGYcpnfKxm8FLy-7lzXOAay6W9B1hQDIXcG61iq/KIBAKA.jpg?width=650)
KIBAKA ACHOMWA MOTO AKIIBA MALI ZA ABIRIA BAADA YA AJALI KAHAMA
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Watu 300 wanusurika kifo wilayani Mwanga
10 years ago
BBCSwahili05 Aug
Boti la abiria lazama ziwa Victoria Kenya
11 years ago
Mwananchi12 Jul
HITILAFU: Abiria 48 wa PrecisionAir wanusurika
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Abiria 29 wanusurika kifo Moro