Ommy Dimpoz alivyotukutanisha gorofa ya 21 katikati ya Dar es salaam
Mwimbaji wa bongofleva Ommy Dimpoz aliwakutanisha Watanzania December 18 2015 kwenye gorofa ya 21 katikati ya jiji la Dar es salaam kuwaonyesha video yake mpya inaitwa ‘achia body’ , kutazama ilivyokua unaweza kuplay hii video hapa chini.
The post Ommy Dimpoz alivyotukutanisha gorofa ya 21 katikati ya Dar es salaam appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLOMMY DIMPOZ, VANESSA MDEE WAFUNIKA FIESTA DAR
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.
Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.
Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...
10 years ago
GPLMAJAMBAZI YATIKISA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM, YATIWA MBARONI
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/2n1dS650TD8/default.jpg)
10 years ago
VijimamboMAJAMBAZI YATIKISA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM LEO MCHANA YATIWA MBARONI
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
Watu watano wanusurika katika ajali ya gari katikati ya jiji la Dar es Salaam muda huu!
Pichani ni min bus iliyokuwa na namba T 111 AAL, ikionekana imeharibika kwa mbele baada ya kugongana na gari aina ya Noah yenye namba T446DDJ iliyogongwa ubavuni. Min Bus ilikuwa na watu wanne hata hivyo katika ajali hiyo watu hao walipatwa na mishtuko pekee na maumivu kiasi. (Picha na Andrew Chale, Modewjiblog).
Gari aina ya Noah linavyoonekana ubavuni baada ya ajari hiyo.. iliyotokea katikati ya jiji katika eneo la jirani na Bnki ya NMB House na Shirika la Bima ya Taifa la Afya..
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-RYwqUX-wROQ/U1AbHyfQRMI/AAAAAAAFbiw/o37uzYdNzUA/s72-c/bb2bb1362f548b7866c5a726b59a8765.jpg)
MABADILIKO YA UELEKEO WA BARABARA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA SIKU YA TAREHE 28/04/2014. TRAFFIC CIRCULATION AT CBD
2. RANGI YA BLUE MPAUKO - Njia ya Mielekeo Miwili {Two Way}
3. RANGI YA KIJANI - Mitaa ya Kutembea kwa Miguu Magari marufuku {Walking Streets}
4. RANGI NYEKUNDU - Barabara za kupita Daladala
5. RANGI YA BLUU ILIYOIVA - Barabara za DART
6. DUARA ZA NJANO - Mzunguuko {Roundabout}
7. MSALABA WA KIJANI - Makutano yenye Taa za kuongozea Magari {Singnalized Intersection}
![](http://4.bp.blogspot.com/-RYwqUX-wROQ/U1AbHyfQRMI/AAAAAAAFbiw/o37uzYdNzUA/s1600/bb2bb1362f548b7866c5a726b59a8765.jpg)
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Ommy Dimpoz kuwapenda wanaomchukia
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema hakuna haja ya kuwajengea chuki watu wanaojifanya kukupenda lakini hawafurahishwi na mafanikio yako.
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, Dimpoz ambaye alishindwa kufanya shoo nchini Marekani kutokana na visa yake kuwa na mapungufu, alisema imekuwa ni jambo la kawaida wasanii kuchukiwa bila sababu za msingi.
“Unajua mara nyingi unapoamua kuweka chuki sababu ya watu fulani ambao...
10 years ago
Mtanzania28 Jan
Mashabiki wamkera Ommy Dimpoz
NA JUMA HEZRON, TSJ
MSANII wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema anachukizwa na tabia ya mashabiki ambao wamekuwa wakifanya fujo kwenye shoo mbalimbali za wasanii.
Akizungumza na MTANZANIA leo, Ommy Dimpoz alisema kitendo hicho siyo cha kiungwana, mashabiki wamekuwa wakikosea na kuwavunjia heshima wasanii.
“Mashabiki wanatuogopesha, imekuwa kama jambo la kawaida kutufanyia vurugu na kusahau kuwa tunafanya shoo ili kuwapa burudani,” alisema Ommy Dimpoz.
Alisema mashabiki na...