Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHIMUTA, NSSF WAMJAZA MANOTI MJANE WA GURUMO

Hatimaye mjane wa marehemu Muhidini Gurumo, Pili Kitwana amepokea Sh2 milioni kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF kwa ajili ya ununuzi wa Bajaji.
NSSF ilitoa fedha hizo ikiwa ni juhudi za Shirikisho la Muziki nchini (SHIMUTA), ambapo walimuahidi kumpatia mjane huyo kiasi cha fedha ambacho kitamuwezesha kununua bajaji imsaidie kuendesha maisha yake.
"Mwaka huu mwezi wa tano tulimuahidia mama Gurumo tutamsaidia kusaka fedha kwa wadau mbali mbali tuweze kufanikisha azma yetu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MJANE WA GURUMO AWASHUKURU NSSF

Shani Ramadhani SIKU chache baada ya mjane wa marehemu, Muhidin Gurumo, Pili Nassoro, kukabidhiwa shilingi milioni mbili na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa ajili ya kununua bajaj, amelishukuru kwa kujitoa kwao. Mjane wa marehemu, Muhidin Gurumo, Pili Nassoro. Akizungumza na Amani, Pili alilisifu shirika hilo kwa kuthamini michango ya wanamuziki. “Nawashukuru NSSF kwa kunitoa kwenye mawazo kwani mchango wao...

 

10 years ago

GPL

NSSF YATOA MILIONI MBILI KWA MJANE WA GURUMO

Viongozi wa NSSF na Shirikisho la Muziki Tanzania wakimkabidhi Pili Gurumo hundi hiyo.…

 

10 years ago

GPL

NSSF YAMKABIDHI MJANE WA MAALIM GURUMO HUNDI YAB YA MILIONI MBILI

Mke wa marehemu Gurumo akikabidhiwa cheki ya Sh. milioni mbili.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba wajazwa ‘manoti’

>Uongozi wa  Simba umewazawadia wachezaji wake  kitita cha Sh60 milioni baada ya kufanikiwa kuichapa Yanga mabao 3-1 katika pambano la Hisani lililopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

 

11 years ago

GPL

Thomas Ulimwengu noma, amwaga manoti ukumbini

Mshambuliaji wa TP Mazembe ya DR Congo, Thomas Ulimwengu akigawa manoti. Na Issa Mnally
MSHAMBULIAJI wa TP Mazembe ya DR Congo alionyesha kweli maisha yake sasa ni ya juu baada ya kumwaga fedha kwa wanamuziki wa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’. Ulimwengu alifanya hivyo kwenye shoo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar siku ya Boxing Day. Mshambuliaji huyo wa...

 

9 years ago

Habarileo

Simba, Yanga waikimbiza Shimuta

MCHEZO wa watani wa jadi Simba na Yanga umesogeza mbele Bonaza la SHIMUTA hadi Oktoba 10 mwaka huu, imeelezwa.

 

9 years ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Shimuta Set Date for General Election


Tanzania: Shimuta Set Date for General Election
AllAfrica.com
THE Inter-parastatal and Non-parastatal Sports Federation of Tanzania, SHIMUTA general election will be held on March 19th, this year, in a region to be announced later. SHIMUTA Secretary General, Awadh Safari, said the election will be held after the ...

 

9 years ago

StarTV

Waajiri wakumbushwa kutoa ruhusa kwa Michezo Ya Shimuta.  

 

 

Michuano ya SHIMUTA inayohusisha wafanyakazi wa mashirika ya umma, kampuni za watu binafsi na taasisi zilizopo  hapa nchini imezinduliwa rasmi mkoani Arusha  huku washiriki wakiwataka waajiri kuwaruhusu wafanyakazi kushiriki katika michezo.

Washiriki hao wameeleza sababu ya baadhi ya waajiri wasio na mapenzi na michezo kushindwa kutoa hamasa sehemu za kazi kwa kutokujua faida zitokanazo na michezo.

 Ni wajibu wa viongozi kuinua na kuendeleza michezo mahala pa kazi “ni kauli mbiu yenye...

 

10 years ago

Dewji Blog

NSSF CUP Jambo Leo wakimbia uwanja, Baada ya kuchapwa 3-0 na NSSF

Wachezaji wa Jambo Leo mpira wa miguu (wenye jezi rangi nyekundu) wakitoka uwanjani mara baada ya kufungwa goli la 3 na kususia mchezo huo kwa madai uwanja umeharibika kwa kujaa maji. Mchezo huo ulivunjika katika dakika 69.

Wachezaji wa Jambo Leo mpira wa miguu (wenye jezi rangi nyekundu) wakitoka uwanjani mara baada ya kufungwa goli la 3 na kususia mchezo huo kwa madai uwanja umeharibika kwa kujaa maji. Mchezo huo ulivunjika katika dakika 69.

Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani huku wakipongezana  mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na timu ya Jambo Leo. NSSF walipewa ushindi wa magoli 3-0. Baada ya Timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69 ikisingizia uwanja mbaya.

Wachezaji wa timu ya NSSF mpira wa miguu wakitoka uwanjani huku wakipongezana mara baada ya mwamuzi kumaliza pambano lao na timu ya Jambo Leo. NSSF walipewa ushindi wa magoli 3-0. Baada ya Timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani baada ya kufungwa goli la 3 katika dakika 69...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani