Kutana na dakika 15 za safari ya Mbwana Samatta kutoka African Lyon, Simba, TP Mazembe hadi KRC Genk ya Ubelgiji
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania ambaye anakipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Ally Samatta, yupo kwenye headlines kwa sasa baada ya dili lake la kwenda kucheza klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji kuwa katika nafasi kutokana na kuwa tayari ameshasaini mkataba wa awali. Huenda ukwa umemfahamu Mbwana Samatta […]
The post Kutana na dakika 15 za safari ya Mbwana Samatta kutoka African Lyon, Simba, TP Mazembe hadi KRC Genk ya Ubelgiji appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Kama Mbwana Samatta akisaini KRC Genk ya Ubelgiji, Simba watapata dau hili kutoka kwa Samatta…
Bado headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kuandikwa kila siku. Kwa sasa Mbwana Samatta anakaribia kujiunga na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji kwani kinachosubiriwa kwa sasa ni kuafikiana na ada ya uhamisho wa mshambuliaji huyo. Klabu ya TP […]
The post Kama Mbwana Samatta akisaini KRC Genk ya Ubelgiji, Simba watapata dau hili kutoka kwa Samatta… appeared first on...
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Hapa ndipo usajili wa Mbwana Samatta wa kujiunga na KRC Genk ya Ubelgiji unapocheleweshwa …
Bado ni headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kuchukua nafasi. Samatta ambaye anatajwa kukaribia kujiunga na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji bado hajasaini mkataba na klabu hiyo licha ya yeye na Genk kukubaliana maslahi binafsi. January 4 stori […]
The post Hapa ndipo usajili wa Mbwana Samatta wa kujiunga na KRC Genk ya Ubelgiji unapocheleweshwa … appeared first on...
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Serikali yampongeza Mbwana Samatta kwa kujiunga na Genk ya Ubelgiji
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akiongea na Mchezaji wa Timu ya TP Mazembe Mbwana Samatta (kulia) leo kwenye ofisi za wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Mbwana Samatta(wa kwanza kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Mhe. Nape Nnauye (katikati) akiongea na waandishi wa Habari wakati aakimkaribisha Samatta kwenye ofisi za wizara yake.
9 years ago
Michuzi
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ampongeza Mbwana Samatta kwa kujiunga na klabu ya Genk ya Ubelgiji


9 years ago
MillardAyo31 Dec
Kama Samatta atajiunga na KRC Genk, atakuwa kajiunga na klabu ambayo imechezewa na mastaa hawa maarufu
December 30 mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri wa kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta amekiri kuwa katika harakati za mwisho za kwenda kucheza soka barani katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji. Samatta ambaye December 30 alikiri kuwa bado hajasaini na Genk kama inavyoripotiwa ila mambo yanaenda vizuri, […]
The post Kama Samatta atajiunga na KRC Genk, atakuwa kajiunga na klabu ambayo imechezewa na mastaa hawa maarufu appeared first on...
9 years ago
Mwananchi26 Dec
Samatta asaini Genk ya Ubelgiji
10 years ago
Mtanzania05 Oct
Mbwana Samatta aipeleka Mazembe fainali Afrika
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MABAO mawili yaliyopachikwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, yalichangia ushindi wa 3-0 na kuipeleka Klabu ya TP Mazembe kwenye fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
TP Mazembe ikicheza kwenye uwanja wake wa nyumbani jijini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, iliifunga El Merreikh ya Sudan katika mchezo wa pili wa nusu fainali iliyochezwa jana.
Katika mchezo wa kwanza uliochezwa jijini Khartoum, TP Mazembe ililala 2-1 huku bao...
10 years ago
Bongo505 Oct
Mbwana Samatta aipeleka TP Mazembe fainali ya klabu bingwa barani Afrika
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Video ya dakika 10 ya Mbwana Samatta akichukua baraka za waziri wa michezo Nape Nnauye kuelekea Tuzo za CAF
December 30 mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Ally Samatta aliomba kuonana na waziri wa habari, vijana, wasanii na michezo Mh Nape Nnauye ili kuomba baraka za kuelekea Abuja Nigeria January 7 katika kilele cha utolewaji wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika […]
The post Video ya dakika 10 ya Mbwana Samatta akichukua baraka za waziri wa michezo Nape Nnauye kuelekea Tuzo za CAF appeared first on...