Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Setif Entete ndio klabu bingwa barani Afrika

Klabu Entente Satif ya Algeria kwa mara ya kwanza katika miaka 26 imekuwa klabu bingwa barani Afrika baada ya kuishinda timu ya AS Vita Club ya Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo kutokana na mabao ya ugenini kufuatia sare ya 3-3 siku ya Jumamosi. Round ya kwanza ya mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Mustapha Tchakerwalitoka […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Setif Entete yatwaa ubingwa Klabu Bingwa Afrika

Kilabu ya Entente Satif kutoka Algeria imeshinda ubingwa wa kilabu bora barani Afrika kwa mara ya kwanza katika miaka 26 baada ya kuishinda kilabu ya AS Vita Club kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kutokana na mabao ya ugenini kufuatia sare ya 3-3 siku ya jumamosi.

 
Raundi ya pili ya fainali katika uwanja wa Mustapha Tchaker mjini Blida ilikamilika kwa sare ya 1-1,siku sita baada ya sare ya 2-2 katika mechi ya kwanza iliochezwa mjini Kinshasa.

 
Setif ilianza kuona lango na wapinzani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Setif Entete ndio kilabu bingwa Afrika

Kilabu ya Entente Setif kutoka Algeria imeshinda ubingwa wa kilabu bora barani Afrika kwa mara ya kwanza katika miaka 26

 

9 years ago

Bongo5

Mbwana Samatta aipeleka TP Mazembe fainali ya klabu bingwa barani Afrika

Klabu ya TP Mazembe ya Congo DRC, imefanikiwa kuingia hatua ya fainali ya klabu bingwa barani Afrika na itakutana na klabu ya Algeria USM Alger. Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta jana alifanikiwa kupiga mabao mawili na uwanja mzima ulikuwa ukimshangilia kwa kuimba jina la mchezaji huyo. Naye Roger Assale alifunga goli moja na […]

 

11 years ago

Michuzi

News Flash: Yanga yatolewa kiume mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,yafungwa na Al Ahly kwa mikwaju ya penati 4-3

Timu ya Yanga imetolewa kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika baada ya kufungwa na Timu ya Al Ahly ya Misri kwa Mikwaju ya penalati 4-3.Hatua hiyo ya penati ilikuwa baada ya Yanga kufungwa bao 1 katika dakika 90 ya mchezo wao uliomalizika usiku huu huko mjini Alexandria. Katika Mchezo wa awali uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,Yanga ilishinda bao 1 - 0.

 

10 years ago

BBCSwahili

Klabu bingwa barani Ulaya

michuano ya Klabu Bigwa barani Ulaya ,Chelsea imetoa kipigo cha mbwa mwizi .

 

9 years ago

BBCSwahili

Barcelona ndio klabu bingwa 2015

Barcelona ndio mabingwa wa dunia wa 2015 wa kombe la klabu bingwa baada ya kuilaza River Plate 0-3 katika fainali.

 

10 years ago

BBCSwahili

TP Mazembe nje Klabu Bingwa Afrika

Entente Setif sasa itapambana na AS Vita Club katika fainali ya Klabu Bigwa barani Afrika baada ya kuiondoa TP Mazembe

 

9 years ago

BBCSwahili

TP Mazembe 2-1 USM Alger klabu bingwa Afrika

TP Mazembe wameweka mkono mmoja kwenye kombe la klabu bingwa barani Afrika baada ya kushinda mkondo wa kwanza wa fainali dhidi ya USM Alger ya Algeria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani