Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Setif Entete ndio kilabu bingwa Afrika

Kilabu ya Entente Setif kutoka Algeria imeshinda ubingwa wa kilabu bora barani Afrika kwa mara ya kwanza katika miaka 26

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Setif Entete ndio klabu bingwa barani Afrika

Klabu Entente Satif ya Algeria kwa mara ya kwanza katika miaka 26 imekuwa klabu bingwa barani Afrika baada ya kuishinda timu ya AS Vita Club ya Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo kutokana na mabao ya ugenini kufuatia sare ya 3-3 siku ya Jumamosi. Round ya kwanza ya mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa Mustapha Tchakerwalitoka […]

 

10 years ago

StarTV

Setif Entete yatwaa ubingwa Klabu Bingwa Afrika

Kilabu ya Entente Satif kutoka Algeria imeshinda ubingwa wa kilabu bora barani Afrika kwa mara ya kwanza katika miaka 26 baada ya kuishinda kilabu ya AS Vita Club kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kutokana na mabao ya ugenini kufuatia sare ya 3-3 siku ya jumamosi.

 
Raundi ya pili ya fainali katika uwanja wa Mustapha Tchaker mjini Blida ilikamilika kwa sare ya 1-1,siku sita baada ya sare ya 2-2 katika mechi ya kwanza iliochezwa mjini Kinshasa.

 
Setif ilianza kuona lango na wapinzani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Real Madrid ndio kilabu bingwa duniani

Real Madrid imeshinda taji lao la nne mwaka 2014 baada ya kuwashinda mabingwa wa Marekani Kusini kutoka Argentina San Lorenzo

 

10 years ago

BBCSwahili

Real Madrid ndio kilabu tajiri duniani

Real Madrid ndio timu tajiri zaidi kwa mwaka wa tatu mfululizo kulingana na jarida la biashara la Forbes.

 

9 years ago

BBCSwahili

Barcelona ndio klabu bingwa 2015

Barcelona ndio mabingwa wa dunia wa 2015 wa kombe la klabu bingwa baada ya kuilaza River Plate 0-3 katika fainali.

 

11 years ago

BBCSwahili

Yaya Toure bingwa wa Afrika

Mchezaji wa Manchester City ambaye pia hucheza nafasi ya kiungo cha kati katika timu ya Ivory Coast, Yaya Toure ndiye mwanasoka bora zaidi wa mwaka barani Afrika

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika Kusini bingwa wa kuogelea

Michuano ya kuogelea ya Kanda ya 4 Afrika imemalizika mjini Luanda, Angola huku Afrika ya Kusini ikiibuka kidedea.

 

10 years ago

BBCSwahili

TP Mazembe nje Klabu Bingwa Afrika

Entente Setif sasa itapambana na AS Vita Club katika fainali ya Klabu Bigwa barani Afrika baada ya kuiondoa TP Mazembe

 

10 years ago

Vijimambo

YUSSUF HAMED BINGWA WA HALUA AFRIKA MASHRIKI

 Bw. Yussuf Hemed akiwa kwenye kazi yake ya kila siku ya kusonga halua.Akiwa amerithi mikoba ya baba yake Bw.Yussuf Hamed ameendeleza biashara ya halua yenye ubora wa hali ya juu katika duka lake lililopo Wete kisiwani Pemba.Kuanzia asubuhi mapema wateja humiminika kujipatia halua na kahawa na kuendelea na shughuli zao.Hapa Marekani watu hukimbilia Starbucks, basi na huko Wete Pemba hukimbilia kwa Bw.Yussuf Hamed kupata robo kilo ya halua na kahawa na kuendelea na shughuli za uzalishaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani