YUSSUF HAMED BINGWA WA HALUA AFRIKA MASHRIKI
![](http://4.bp.blogspot.com/-WRJZ_NoKXrM/VDsShe9n5zI/AAAAAAADJmo/I5SAbNZTx-U/s72-c/unnamed%2B(22).jpg)
Bw. Yussuf Hemed akiwa kwenye kazi yake ya kila siku ya kusonga halua.
Akiwa amerithi mikoba ya baba yake Bw.Yussuf Hamed ameendeleza biashara ya halua yenye ubora wa hali ya juu katika duka lake lililopo Wete kisiwani Pemba.Kuanzia asubuhi mapema wateja humiminika kujipatia halua na kahawa na kuendelea na shughuli zao.Hapa Marekani watu hukimbilia Starbucks, basi na huko Wete Pemba hukimbilia kwa Bw.Yussuf Hamed kupata robo kilo ya halua na kahawa na kuendelea na shughuli za uzalishaji...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 Jan
Yaya Toure bingwa wa Afrika
10 years ago
BBCSwahili12 May
Afrika Kusini bingwa wa kuogelea
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
TP Mazembe nje Klabu Bingwa Afrika
10 years ago
BBCSwahili02 Nov
Setif Entete ndio kilabu bingwa Afrika
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
TP Mazembe 2-1 USM Alger klabu bingwa Afrika
5 years ago
CCM Blog13 Feb
RAIA WANAOENDELEA KUYAKIMBIA MAKAZI YAO MASHRIKI MWA DRC
![UNHCR: Raia wanaendelea kuyakimbia makazi yao mashariki mwa DRC](https://media.parstoday.com/image/4bsm05692055261ived_800C450.jpg)
10 years ago
Vijimambo01 Mar
AZAM YATOLEWA KUWANIA KUFUZU KLABU BINGWA AFRIKA
![azam sudan 3](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/azam-sudan-3.jpg)
10 years ago
Bongo503 Nov
Setif Entete ndio klabu bingwa barani Afrika
10 years ago
StarTV04 Nov
Setif Entete yatwaa ubingwa Klabu Bingwa Afrika
Kilabu ya Entente Satif kutoka Algeria imeshinda ubingwa wa kilabu bora barani Afrika kwa mara ya kwanza katika miaka 26 baada ya kuishinda kilabu ya AS Vita Club kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kutokana na mabao ya ugenini kufuatia sare ya 3-3 siku ya jumamosi.
Raundi ya pili ya fainali katika uwanja wa Mustapha Tchaker mjini Blida ilikamilika kwa sare ya 1-1,siku sita baada ya sare ya 2-2 katika mechi ya kwanza iliochezwa mjini Kinshasa.
Setif ilianza kuona lango na wapinzani...