Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIA WANAOENDELEA KUYAKIMBIA MAKAZI YAO MASHRIKI MWA DRC

UNHCR: Raia wanaendelea kuyakimbia makazi yao mashariki mwa DRC Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, lina wasiwasi mkubwa na hali inayozidi kuwa mbaya katika eneo la Beni, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na raia kuendelea kuyakimbia makazi yao.Taarifa ya UNHCR imeeleza kuwa, raia katika maeneneo ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanazidi kuyakimbia makazi yao kutokana na kuzidi kuzorota hali ya ukosefu wa usalama katika maeneo hayo.Ripoti ya Shirika hilo la Kuhudumia...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

30 wauawa Mashariki mwa DRC

Takriban watu 30 wakiwemo watoto na wanawake wameuawa katika mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 40 wauawa Mashariki mwa DRC

Ripoti kutoka Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo zinasema kuwa raia 40 wameuawa kwenye mapigano mjini Kamango

 

10 years ago

Vijimambo

JWTZ YAFAFANUA KILICHOTOKEA BENI, MASHARIKI MWA DRC


Kaimu msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, (JWTZ), Meja Joseph Masanja, akizungumza makao makuu ya Jeshi, Ngome, Upanga jijini Dar es Salaam, Alhamisi Novemba 13, 2014JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limekanusha vikali taarifa za vyombo vya habari vya kimataifa kuwa, wanajeshi wake wanaoshiriki katika vikosi vya Umoja wa Mataifa chini Congo, vimewapiga raia wa Beni.Akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya JWTZ, Ngome, Upanga jijini Dar es Salaam, leo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Raia wa DRC wafurushwa

Mamlaka ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imesema kuwa takriban raia wake elfu sitini wamefurushwa kutoka Congo- Brazaville

 

10 years ago

Vijimambo

Manzese wakabidhiwa Sh100 milioni kuboresha makazi yao

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka akizungumza wakati wa kukabidhi hundi ya Sh100 milioni kwa wakazi wa Kata ya Manzese iliyotolewa na Benki ya Azania kupitia asasi ya Tanzania Financial Services for Underserved Settlement (TAFSUS), Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkurugenzi wa bodi ya asasi hiyo, John Ulanga. Picha na Jennifer SumiDar es Salaam. Wakazi wa Kata ya Manzese na Mtaa wa Mvuleni, jijini hapa wamepokea zaidi ya Sh100 milioni kutoka...

 

5 years ago

Michuzi

WALAZIMIKA KUHAMA MAKAZI YAO KUKWEPA ADHA YA MAFURIKO

Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo tofauti nchini zimeendelea kuleta  madhara,ambapo  Wilayani Kilombero Wakazi wa Kijiji Cha Nyange Kichangini kitongiji Cha Msolwa Stesheni  wameladhimika kuyahama makazi yao  kutokana  na mafuriko



 

11 years ago

BBCSwahili

Raia 130,000 wa DRC wafukuzwa Brazaville

Zaidi ya wahamiaji 130,000 kutoka Jamhuri ya Demokrasia ya Congo wamefukuzwa kutoka Congo Brazaville tangu mwezi Aprili.

 

5 years ago

CCM Blog

UN: RAIA 1,300 WAMEUAWA DRC, JINAI ZA KIVITA ZIMETENDEKA

UN: Raia 1,300 wameuawa DRC, jinai za kivita zimetendekaOfisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema takribani watu 1,300 ambao ni raia wameuawa katika matukio tofauti yanayohusisha makundi ya watu wenye silaha na vikosi vya serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC katika kipindi cha miezi minane iliyopita.Kwa mujibu wa taaifa hiyo iliyotolewa Ijumaa mjini Geneva Uswisi, baadhi ya matukio hayo yanayohusisha mauaji, ukatili na ukiukwaji mwingine wa haki za binadamu huenda yakawa ni jinai dhidi ya binadamu au jinai za...

 

10 years ago

Vijimambo

MAELFU YA RAIA WAPYA WA TANZANIA WAPEWA VYETI VYAO KATIKA MAKAZI YA MISHAMO, MPANDA

Mkuu wa Makazi ya Mishamo, Fredrick Nisajile akizungumza na maofisa wake (kushoto) kabla ya kuanza kugawa vyeti vya uraia kwa raia wapya wa Tanzania kijijini Ilangu katika Makazi ya Mishamo, yaliyopo wilayani ya Mpanda Vijijini, Mkoa wa Katavi. Zaidi ya watu 152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, wanastahili kupokea vyeti hivyo kama raia wapya wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani