Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN: RAIA 1,300 WAMEUAWA DRC, JINAI ZA KIVITA ZIMETENDEKA

UN: Raia 1,300 wameuawa DRC, jinai za kivita zimetendekaOfisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema takribani watu 1,300 ambao ni raia wameuawa katika matukio tofauti yanayohusisha makundi ya watu wenye silaha na vikosi vya serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC katika kipindi cha miezi minane iliyopita.Kwa mujibu wa taaifa hiyo iliyotolewa Ijumaa mjini Geneva Uswisi, baadhi ya matukio hayo yanayohusisha mauaji, ukatili na ukiukwaji mwingine wa haki za binadamu huenda yakawa ni jinai dhidi ya binadamu au jinai za...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

IS yawaua raia 300 wa Yazidi nchini Iraq

Maafisa nchini Iraq wanasema kuwa wanamgambo wa IS wamewaua mamia ya watu wa yazidi waliokuwa wakiwazuilia eneo lililo kaskazini mwa nchi.

 

10 years ago

GPL

IS WAUA RAIA 300 WA YAZIDI NCHINI IRAQ

Raia wa Yazidi waishio nchini Iraq. KUNDI la wanamgambo wa Islamic State limewaua mateka takribani 300 ambao ni raia wa Yazidi kaskazini mwa Iraq.
Makamu wa rais nchini Iraq, Osama al-Nujifi ameyalaani mauaji hayo akiyataja kuwa ya kikatili. Taarifa zimeeleza kuwa watu hao waliuawa katika wilaya moja iliyo magharibi mwa mji wa Mosul siku ya Ijumaa. Wanamgambo wa Islamic State walithibiti maeneo yaliyo kaskazini mwa Iraq kwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Raia wa DRC wafurushwa

Mamlaka ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imesema kuwa takriban raia wake elfu sitini wamefurushwa kutoka Congo- Brazaville

 

9 years ago

Michuzi

JE WAJUA KUMSHAURI MTU KUTENDA JINAI NAYO NI JINAI ?

Usimshauri  mtu  kuhusika  katika  kitendo chochote  ambacho  kinakatazwa  na  sheria. Kufanya  hivyo  kutakufanya  nawe  kuhesabika  umehusika katika  kosa  hilo. Hii  ni  hata  katika  mambo  ya  kawaida  tuliyozea.  Ukimsikia  mtu  anapanga  kwenda  kumkomesha  fulani kwa  kumpa  kipigo  usitie  neno  lako labda  kama  unamzuia. Usijaribu  hata  kusema  nenda  kamfanyie  amezidi.  Maneno  hayo  ni  machache  lakini  kisheria  yatachukuliwa  kama  ushauri  kwa mtenda  kosa.Au  mtu ...

 

10 years ago

Raia Mwema

Fedha za jinai zitachagua watawala wa kutetea na kuendeleza jinai

HIVI sasa tumefikia hatua muhimu katika mchakato wa kuchagua watawala wetu watakaotawala nchi na

Jenerali Ulimwengu

 

11 years ago

BBCSwahili

Raia 130,000 wa DRC wafukuzwa Brazaville

Zaidi ya wahamiaji 130,000 kutoka Jamhuri ya Demokrasia ya Congo wamefukuzwa kutoka Congo Brazaville tangu mwezi Aprili.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIA WANAOENDELEA KUYAKIMBIA MAKAZI YAO MASHRIKI MWA DRC

UNHCR: Raia wanaendelea kuyakimbia makazi yao mashariki mwa DRC Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, lina wasiwasi mkubwa na hali inayozidi kuwa mbaya katika eneo la Beni, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na raia kuendelea kuyakimbia makazi yao.Taarifa ya UNHCR imeeleza kuwa, raia katika maeneneo ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanazidi kuyakimbia makazi yao kutokana na kuzidi kuzorota hali ya ukosefu wa usalama katika maeneo hayo.Ripoti ya Shirika hilo la Kuhudumia...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, pia amteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola kuongoza Idara ya Intelijensia ya Jinai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...

 

10 years ago

BBCSwahili

Al shabaab 13 wameuawa Kenya

Wapiganaji 13 wa kundi la Kiislamu la Al Shabaab wameuawa baada ya kushambulia kambi ya jeshi katika eneo la Lamu pwani ya Kenya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani