Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAELFU YA RAIA WAPYA WA TANZANIA WAPEWA VYETI VYAO KATIKA MAKAZI YA MISHAMO, MPANDA

Mkuu wa Makazi ya Mishamo, Fredrick Nisajile akizungumza na maofisa wake (kushoto) kabla ya kuanza kugawa vyeti vya uraia kwa raia wapya wa Tanzania kijijini Ilangu katika Makazi ya Mishamo, yaliyopo wilayani ya Mpanda Vijijini, Mkoa wa Katavi. Zaidi ya watu 152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, wanastahili kupokea vyeti hivyo kama raia wapya wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAELFU YA RAIA WAPYA WA TANZANIA WAKIPEWA VYETI VYAO KATIKA MAKAZI YA MISHAMO, MPANDA

wak1Mkuu wa Makazi ya Mishamo, Fredrick Nisajile akizungumza na maofisa wake (kushoto) kabla ya kuanza kugawa vyeti vya uraia kwa raia wapya wa Tanzania kijijini Ilangu katika Makazi ya Mishamo, yaliyopo wilayani ya Mpanda Vijijini, Mkoa wa Katavi. Zaidi ya watu 152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, wanastahili kupokea vyeti hivyo kama raia wapya wa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIA WAPYA WA TANZANIA WASHANGILIA KUPEWA VYETI VYA URAIA, MAMA MJAMZITO AJIFUNGUA AKIWA KATIKA KITUO CHA KUPOKELEA VYETI

Kiongozi wa Ofisi ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi (UNHCR) katika Makazi ya Mishamo, Adolph Bishanga akimkabidhi chandarua na shuka raia mpya wa Tanzania, ambaye ni Mkazi wa Kijiji cha Kapemba, Kata ya Mishamo, wilayani Mpanda, Ageva Moses (kulia) baada ya kujifungua mtoto wa kiume wakati akiwa katika kituo cha kupokelea cheti cha uraia katika Kijiji cha Ifumbula wilayani humo. Licha ya maafisa wa Serikali pamoja na UNHCR kutoa maelekezo kuwa wagonjwa na wasiojiweza...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KURASMISHA ENEO LA MAKAZI MISHAMO

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali inaandaa utaratibu wa namna ya kuweka mfumo mpya wa makazi kwenye eneo la Mishamo, wilayani Mpanda ili wakazi hao waondokane na hali ya kuishi kama wakimbizi.
“Ni lazima tuje na kitu kipya… tumewapa vijiji 16 na kata nne japokuwa najua hazitoshi kulingana na idadi kubwa ya wakazi mliopo kwenye eneo hili. Itabidi Serikali kwa kushirikiana na Mbunge na wadiwani waliopo wakae na kuangalia njia ya kupata kata zaidi,” alisema.
Alitoa kauli hiyo jana jioni...

 

10 years ago

Michuzi

MAJAJI WAPYA WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI JUU YA UTENDAJI KAZI MAHAKAMANI

  Mhe. Jaji Ferdinand Wambali (aliyesimama), Mkuu wa Chuo cha Mahakama  Lushoto (IJA),akitoa mada juu ya utendaji kazi katika Mahakama katika mafunzo yaliyoanza kufanyika mapema leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (JNICC) jijini Dar es Salaam. Mhe. Shaban Ali Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (katikati) akitoa neno la utangulizi katika Semina ya Mafunzo elekezi kwa Wahe. Majaji wapya wa Mahakama Kuu ya Tanzania walioapishwa hivi karibuni, aliyeketi kushoto ni Mhe. Anold...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maelfu wafurika mkutano wa utambulisho wa viongozi wa ACT Mpanda

DSC_0861

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara za kutambulisha viongozi wake. 

DSC_0844

DSC_0789

Wanampanda wakishangilia hotuba ya Zitto Kabwe wakati wa utambulisho wa viongozi wa chama hicho mjini Mpanda.

DSC_0777

Mwanaharakati na Mshauri wa chama cha ACT Wazalendo, Mama Terry, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea  na ziara ya kutambulisha viongozi wake.

DSC_0746

 

10 years ago

Michuzi

WAHE. MAJAJI WAPYA WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI JUU YA UTENDAJI KAZI MAHAKAMANI

 Mhe. Shaban Ali Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (katikati) akitoa neno la utangulizi katika Semina ya Mafunzo elekezi kwa Wahe. Majaji wapya wa Mahakama Kuu ya Tanzania walioapishwa hivi karibuni, aliyeketi kushoto ni Mhe. Anold Nsekela, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani (T) kulia ni Mhe. Salvatory Bongole, Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

             Mhe. Jaji Ferdinand Wambali (aliyesimama), Mkuu wa Chuo cha Mahakama  Lushoto (IJA),akitoa mada...

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wapya TBF wataja vipaumbele vyao mapema

Uongozi mpya wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) umebainisha vipaumbele vyake vitatu itakavyoanza navyo kuwa itaelekeza nguvu kwenye upatikanaji wa viwanja, kuwa na mashindano kulingana na kalenda ya kimataifa na kitaifa na kuwa na kozi nyingi za makocha wa mpira wa kikapu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Majina ya wakuu wa wilaya wapya na vituo vyao kama yalivyotangazwa na Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo

Mizengo-Pinda

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mizengo Pinda.

ORODHA YA MA-DC 18.02.2015.doc by moblog

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani