Japan yajutia vita vya dunia
Emperor Akihito wa Japan amejutia vita vya pili vya dunia kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 70 tangu kumalizika vita hivyo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili14 Aug
Japan inajutia vita vya pili vya dunia
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Hii ndiyo Kambi ya Jeshi la Uingereza kwenye Vita vya Kwanza vya Dunia
Ufaransa
Mashimo ya kupenya ndani kwa ndani chini ya ardhi yamevumbuliwa kwenye machimbo ya chokaa Kaskazini mwa Ufarasa na yanasadikika kuwa wanajeshi wa Uingereza waliishi humo wakati wa mapigano ya Vita vya Kwanza vya Dunia (WW1) vilivyofanyika kati ya waka 1914 hadi 1918.
Ndani ya mashimo hayo kumekutwa miamba migumu ambayo imeandikwa majina ya wapiganaji wa WW1 waliokufa na kuzikwa mule. Pia kuna makanisa ambamo waliabudu, mabaki ya gari na baiskeli za zamani...
11 years ago
BBCSwahili28 Jun
Karne baada Vita vya Kwanza vya Dunia
11 years ago
Mwananchi26 Jul
‘Bomu la kwanza Vita vya Dunia lilitua Dar es Salaam’
5 years ago
BBCSwahili29 Feb
Vita vya Afghan: Marekani na Taliban watia saini kumaliza vita vya miezi 18
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Barcelona watwaa Kombe la Dunia Japan
YOKOHAMA, JAPAN
KLABU ya Barcelona imeibuka mabingwa katika michuano ya klabu ya dunia iliyokuwa ikiendelea nchini Japan baada ya kuifunga River Plate ya Argentina mabao 3-0, kwenye Uwanja wa Nissan Stadium.
Katika mchezo huo, mshambuliaji hatari wa Barcelona, Luis Suarez, alikuwa mwiba kwa mabeki wa River Plate, ambapo alipachika mabao mawili huku Lionel Messi akiwa wa kwanza kupachika bao.
Hata hivyo, katika mchezo wa nusu fainali, Suarez alionesha umahiri wake kwa kupachika mabao matatu...
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Wanakijiji Japan waitikisa dunia kwa uvuvi wa pomboo
POMBOO ni mmoja wa samaki wapole wa baharini ambao wanapendwa sana na binadamu. Anahesabika kati ya wanyama wenye akili nyingi kwani ana uwezo wa kujifunza mambo na kuyakariri. Pia ana...
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Vita vya jogoo vyasababisha vifo vya watu 10
9 years ago
Bongo514 Dec
Kombe la dunia la Klabu: Sanfrecce Hiroshima ya Japan yazima matumaini ya TP Mazembe
![_87185831_gettyimages-501182938](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/87185831_gettyimages-501182938-300x194.jpg)
Matumaini ya TP Mazembe kufika kwenye fainali za kombe la dunia la klabu yamezimwa jana baada ya mabingwa hao wa Afrika kufungwa mabao 3-0 na Sanfrecce Hiroshima ya Japan.
Mchezo huo ulipigwa kwenye uwanja wa Yanmar wa mjini Osaka, Japan.
Magoli hayo yalifungwa na Tsukasa Shiotani, Kazuhiko Chiba na Takuma Asano.
Kikosi cha Mazembe kilikuwa kikiundwa na wachezaji wa kimataifa kutoka Ivory Coast, Mali, Zambia, Tanzania, Ghana na mchezaji mmoja tu kutoka DR Congo.
Thomas Ulimwengu na...