Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


APIGWA RISASI MCHANA KWEUPE, MAGOMENI JIJINI DAR ES SALAAM!

Mtu asiyefahamika akiwa ndani ya gari lake mara baada ya kupigwa risasi tumboni. Kushoto kwake ni mwanamke aliyekuwa naye garini. ....wapita njiawakijaribu kutoa msaada kwa mtu huyo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

APIGWA RISASI MCHANA KWEUPE, AFARIKI

Mwili wa dada huyo baada ya kupigwa risasi na majambazi.
Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliokuwa wanatumia usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda, wamemuua kwa kumpiga risasi dada mmoja ambaye jina lake halijafahamika maeneo ya Kinondoni, Morocco jijini Dar es Salaam baada ya majambazi hayo kuiba katika duka la M-pesa, wakati wanaondoka walikuwa wanarusha risasi ovyo na kumpata dada huyu aliyekuwa akipita njia. ...

 

10 years ago

GPL

APIGWA RISASI ASUBUHI YA LEO, YOMBO VITUKA JIJINI DAR ES SALAAM!

Mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina la Betty baada ya kupigwa risasi asubuhi ya leo, Yombo Vituka, Temeke  jijini Dar es Salaam akiwa kwenye gari aina ya Toyota Pick Up ya Tunu Security na watu waliokuwa na bodaboda.…

 

10 years ago

Vijimambo

MTANZANIA WA DMV AHANI MSIBA WA ALLY MIKIDADI MAGOMENI MAPIPA JIJINI DAR ES SALAAM


Alawi (kushoto) akitoa mkono wa pole kwa Bi.Badria(Mama Mzazi wa Ally Mikidadi) siku ya Jumapili March 22, 2015 nyumbani kwa marehemu Magomeni Mapipa jijini Dar Es Salaam, kulia ni Bure mjomba wake Ally Mikidadi na kaka ya Bi. Badria. Ally Mikidadi ni mkazi wa Hyattsville, Maryland nchini Marekani aliyefiwa na baba yake mzazi nchini Tanzania na misba hapa DMV upo 6200 Ager Road, Hyattsville, Maryland. Alawi akipata picha na mjomba BureMazishi ya Marehemu mzee Mikidadi yaliyofanyika siku ya...

 

11 years ago

GPL

MC MAARUFU DAR APIGWA RISASI 9

Stori: Haruni Sanchawa na Issa Mnally
Masikitiko yameigubika familia ya Jafari na wakazi wa Yombo-Kilakala, Temeke jijini Dar kufuatia tukio la mshereheshaji (MC) maarufu, Kelvin Jafari ‘Kalembo’ (42) kupigwa risasi tisa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi. MC Kelvin Jafari ‘Kalembo’ enzi za uhai wake. Tukio hilo lilijiri saa moja usiku wa Jumamosi iliyopita huko Yombo ambapo kwa mujibu wa mashuhuda,...

 

10 years ago

Mtanzania

Mmoja apigwa risasi na jambazi Dar

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAM
MTU mmoja ambaye jina lake halikufahamika amepigwa risasi mbili na kuporwa fedha na mtu mmoja anayedhaniwa kuwa ni jambazi katika eneo la Kijiweni Karibu na Baa ya Delux, Sinza, Dar es Salaam.
Tukio hilo lilitokea jana ambako MTANZANIA lilifika na kuelezwa na mashuhuda wa tukio hilo waliodai lilikuwa la kushtukiza na lilitokea saa 6.00 mchana.
Akisimulia tukio hilo dereva aliyekuwa akiendesha gari lililoshambuliwa namba T 236 DDT aliyefahamika kwa jina moja la...

 

10 years ago

Vijimambo

BILIONI 600 ZIMEPIGWA MCHANA KWEUPE TUNAISHIA KUJIUZULU

Rais jakaya kikwete.
TUNAAMBIWA wakati tukipata uhuru mwaka 1961, nchi yetu ilikuwa na uchumi sawa na nchi kama Singapore, Malaysia na nyingine nyingi zilizokuwa dunia ya tatu. Leo tunapojifananisha na nchi hizo za Asia, tunaonekana vichekesho.
Lakini si nchi hizo mbili tu, bali kuna mataifa mengi yamefanya vizuri kiuchumi kuliko sisi, hata kwa zile za Afrika, bara ambalo historia inatuambia watawala wake wametawaliwa na tamaa, ubinafsi, chuki na wivu dhidi ya wanaowaongoza.
Ndiyo maana...

 

10 years ago

GPL

POMBE YA MBEGE YAZUA TIMBWILI NI MCHANA KWEUPE, AFUNGA BARABARA, USAFIRI UBUNGO WATIBUKA

DEOGRATIUS MONGELA NA CHANDE ABDALLAH ULEVI asubuhi! Pombe maarufu kwa jina la Mbege hivi karibuni ilizua timbwili la aina yake baada ya mama anayeuza kilevi hicho maarufu mama Manka kulazimika kuwajia juu wateja wake wawili ambao ni makondakta wa mabasi yaendayo mikoani katika stendi kuu ya Ubungo jijini Dar es Salaam. Shuhuda wa tukio hilo lililojaza watu alisema lilitokea asubuhi ya Machi 20, mwaka huu chini ya daraja jipya...

 

10 years ago

Vijimambo

WANADMV WAHANI MSIBA NYUMBANI KWA ALLY MIKIDADI MAGOMENI MAPIPA, DAR ES SALAAM

 Kushoto ni Libe Mwang'ombe na Muna (kulia) kutoka DMV wakiwa nyumbani kwa Ally Mikidadi wakitoa pole kwa dada yake Ally anayeitwa Farida walipokua nyumbani kwa wafiwa Magomeni mapipa jijini Dar es Salaam mapema siku ya Alhamisi March 26, 2015. Ally Mikidadi ni Mtanzania anayeishi DMV aliyefiwa na baba yake Tanzania.Muna na Libe wakimpa pole Bi Badria(Mama Mzazi wa Ally Mikidadi)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani