Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


APIGWA RISASI MCHANA KWEUPE, AFARIKI

Mwili wa dada huyo baada ya kupigwa risasi na majambazi.
Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliokuwa wanatumia usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda, wamemuua kwa kumpiga risasi dada mmoja ambaye jina lake halijafahamika maeneo ya Kinondoni, Morocco jijini Dar es Salaam baada ya majambazi hayo kuiba katika duka la M-pesa, wakati wanaondoka walikuwa wanarusha risasi ovyo na kumpata dada huyu aliyekuwa akipita njia. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

APIGWA RISASI MCHANA KWEUPE, MAGOMENI JIJINI DAR ES SALAAM!

Mtu asiyefahamika akiwa ndani ya gari lake mara baada ya kupigwa risasi tumboni. Kushoto kwake ni mwanamke aliyekuwa naye garini. ....wapita njiawakijaribu kutoa msaada kwa mtu huyo.…

 

10 years ago

Vijimambo

BILIONI 600 ZIMEPIGWA MCHANA KWEUPE TUNAISHIA KUJIUZULU

Rais jakaya kikwete.
TUNAAMBIWA wakati tukipata uhuru mwaka 1961, nchi yetu ilikuwa na uchumi sawa na nchi kama Singapore, Malaysia na nyingine nyingi zilizokuwa dunia ya tatu. Leo tunapojifananisha na nchi hizo za Asia, tunaonekana vichekesho.
Lakini si nchi hizo mbili tu, bali kuna mataifa mengi yamefanya vizuri kiuchumi kuliko sisi, hata kwa zile za Afrika, bara ambalo historia inatuambia watawala wake wametawaliwa na tamaa, ubinafsi, chuki na wivu dhidi ya wanaowaongoza.
Ndiyo maana...

 

10 years ago

GPL

POMBE YA MBEGE YAZUA TIMBWILI NI MCHANA KWEUPE, AFUNGA BARABARA, USAFIRI UBUNGO WATIBUKA

DEOGRATIUS MONGELA NA CHANDE ABDALLAH ULEVI asubuhi! Pombe maarufu kwa jina la Mbege hivi karibuni ilizua timbwili la aina yake baada ya mama anayeuza kilevi hicho maarufu mama Manka kulazimika kuwajia juu wateja wake wawili ambao ni makondakta wa mabasi yaendayo mikoani katika stendi kuu ya Ubungo jijini Dar es Salaam. Shuhuda wa tukio hilo lililojaza watu alisema lilitokea asubuhi ya Machi 20, mwaka huu chini ya daraja jipya...

 

10 years ago

Mwananchi

Apigwa risasi machimboni

Mtu mmoja amejeruhiwa begani kwa risasi baada ya ya vurugu kutokea juzi kwenye machimbo ya mchanga eneo la Makongo Juu.

 

11 years ago

GPL

MC MAARUFU DAR APIGWA RISASI 9

Stori: Haruni Sanchawa na Issa Mnally
Masikitiko yameigubika familia ya Jafari na wakazi wa Yombo-Kilakala, Temeke jijini Dar kufuatia tukio la mshereheshaji (MC) maarufu, Kelvin Jafari ‘Kalembo’ (42) kupigwa risasi tisa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi. MC Kelvin Jafari ‘Kalembo’ enzi za uhai wake. Tukio hilo lilijiri saa moja usiku wa Jumamosi iliyopita huko Yombo ambapo kwa mujibu wa mashuhuda,...

 

10 years ago

GPL

MFANYAKAZI WA MWANANCHI APIGWA RISASI

Mfanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick Pella. MFANYAKAZI wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick Pella amevamiwa na majambazi wenye silaha na kupigawa risasi, kujeruhiwa na kisha kuporwa fedha zake mchana huu maeneo ya Tabata-Relini jijini Dar. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Pella anadaiwa kuporwa kiasi cha Sh. Mil 2 alizokuwa nazo akiwa ametoka kuzichukua kwenye mashine ya kutolea fedha (ATM) Tawi la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jambazi apigwa risasi na wenzake

MTU mmoja anayeshukiwa kuwa ni jambazi sugu, Benard Aaron (47) ‘Chinga’ amefariki dunia kwa kupigwa risasi na majambazi wenzake. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa 8:00...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanaharakati apigwa risasi Burundi

Mwanaharakati maarufu wa haki za kibinaadamu nchini Burundi ameigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na watu waliokuwa katika pikipiki kulingana na familia yake na watu walioshuhudia.

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara apigwa risasi ugomvi wa fedha

MFANYABIASHARA wa madini ya tanzanite yaliyopo Mirerani wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Daud Madaha amepigwa risasi kifuani na yuko mahututi katika hospitali ya rufaa ya Selian Jijini Arusha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani