Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANADMV WAHANI MSIBA NYUMBANI KWA ALLY MIKIDADI MAGOMENI MAPIPA, DAR ES SALAAM

 Kushoto ni Libe Mwang'ombe na Muna (kulia) kutoka DMV wakiwa nyumbani kwa Ally Mikidadi wakitoa pole kwa dada yake Ally anayeitwa Farida walipokua nyumbani kwa wafiwa Magomeni mapipa jijini Dar es Salaam mapema siku ya Alhamisi March 26, 2015. Ally Mikidadi ni Mtanzania anayeishi DMV aliyefiwa na baba yake Tanzania.Muna na Libe wakimpa pole Bi Badria(Mama Mzazi wa Ally Mikidadi)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MTANZANIA WA DMV AHANI MSIBA WA ALLY MIKIDADI MAGOMENI MAPIPA JIJINI DAR ES SALAAM


Alawi (kushoto) akitoa mkono wa pole kwa Bi.Badria(Mama Mzazi wa Ally Mikidadi) siku ya Jumapili March 22, 2015 nyumbani kwa marehemu Magomeni Mapipa jijini Dar Es Salaam, kulia ni Bure mjomba wake Ally Mikidadi na kaka ya Bi. Badria. Ally Mikidadi ni mkazi wa Hyattsville, Maryland nchini Marekani aliyefiwa na baba yake mzazi nchini Tanzania na misba hapa DMV upo 6200 Ager Road, Hyattsville, Maryland. Alawi akipata picha na mjomba BureMazishi ya Marehemu mzee Mikidadi yaliyofanyika siku ya...

 

10 years ago

GPL

MAGOMENI-MAPIPA ENEO SUGU KWA FOLENI DAR

Magari yakiwa kwenye foleni Magomeni-Mapipa huku kondakta akionekana kuwa bize na simu yake. Huu ndiyo mwonekano wa ‘vurugu’ za foleni eneo hilo.…

 

10 years ago

Vijimambo

WANA DMV WAHANI MSIBA NYUMBANI KWA KINA MARY MGAWE TANZANIA



Mona, Libe wakiwa na Mary mgawe, Tino, Lukia Mtingwa na Lazia nyumban kwa marehemu

Mona, Bernad, Augustino na Libe msibani

 

10 years ago

Michuzi

MAGOMENI MAPIPA YA LEO

Mambo yanazidi kuwa mswano jijini Dar,kwani kila kukicha mabadiliko yanaonekana.pichani ni Kituo cha Basi cha Magomeni Mapipa leo.Inavyoonekana Magomeni Mapipa sasa.
Magomeni Mapipa kuelekea Kariakoo.Vikwangua acha vya nguvu upande wa Kariakoo kutokea Magomeni Mapipa.

 

10 years ago

TheCitizen

WHO'S RIGHT?: Kikwete not quite right on the origin of ‘Magomeni-Mapipa’

>In all fairness, and without prejudice, I don’t know for sure who is correct on the interpretation, or the origin, of ‘Magomeni Mapipa’ between Tanzanian President Jakaya Kikwete and the reporting on the matter as recently covered by the Dar es Salaam-based ki-Swahili newspaper...

 

9 years ago

GPL

TASWIRA ZA MSIBA NYUMBANI KWA FILIKUNJOMBE, MBAGALA KIJICHI-DAR

Aliyekuwa Mbunge wa Ludewa kwa tiketi ya CCM, Deogratias Filikunjombe, enzi za uhai wake. Mke wa marehemu Deogratias Filikunjombe, Sarah Filikunjombe (kushoto) akilia kwa uchungu baada ya kupata tarifa za kifo cha mumewe. Ndugu, jamaa na marafiki wakionekana wenye huzuni nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe.…

 

10 years ago

Vijimambo

KISOMO CHA BABA YAKE ALLY MUSSA MIKIDADI DMV

Sala ya magharibi ikiendelea katika kisomo cha mpendwa baba yake Ally Mussa Mikidadi kilichofanyika siku ya Jumamosi March 28, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki huku wengine wakitokea New York na New Jersey.Kulia ni Ally Mussa Mikidadi akifuatilia sala ya magharibi iliyoanza kabla ya kisomo cha mpendwa baba yake aliyefariki siku ya Jumamosi March 21, 2015 Dar es Saam, Tanzania na kuzikwa siku ya Jumapili March 22, 2015 katika makaburi ya...

 

11 years ago

Michuzi

Maendeleo ya Msiba wa Mhe. Moshi Mussa Chang'a,nyumbani kwa marehemu Mbagala jijini Dar leo

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa,Injinia Stella Manyanya akiwa ni mwenye majonzi wakati akisaini kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mhe. Moshi Mussa Chang'a ambae alifariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na Kisukari.  
Msiba upo nyumbani kwa Marehemu,eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam ambapo taratibu zote zinafanyika hapo.
Taarifa za awali zinaeleza kwamba Shughuli ya kuaga...

 

10 years ago

Vijimambo

MANGULA NA NAPE WAHANI MSIBA WA JOHN NYERERE

 Picha ya Marehemu John Nyerere aliyefariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa.
Marehemu John alizaliwa mwaka 1957 jijini  Dar es Salaam na enzi za uhai wake alikuwa Kapteni wa Jeshi la Wananchi  Tanzania (JWTZ) akiwa rubani wa kurusha ndege za kivita.Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ni  kwamba marehemu amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya mapafu na  kisukari kwa muda mrefu.Enzi za uhai wake John alishiriki vita ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani