Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGOMENI MAPIPA YA LEO

Mambo yanazidi kuwa mswano jijini Dar,kwani kila kukicha mabadiliko yanaonekana.pichani ni Kituo cha Basi cha Magomeni Mapipa leo.Inavyoonekana Magomeni Mapipa sasa.
Magomeni Mapipa kuelekea Kariakoo.Vikwangua acha vya nguvu upande wa Kariakoo kutokea Magomeni Mapipa.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

WHO'S RIGHT?: Kikwete not quite right on the origin of ‘Magomeni-Mapipa’

>In all fairness, and without prejudice, I don’t know for sure who is correct on the interpretation, or the origin, of ‘Magomeni Mapipa’ between Tanzanian President Jakaya Kikwete and the reporting on the matter as recently covered by the Dar es Salaam-based ki-Swahili newspaper...

 

10 years ago

GPL

MAGOMENI-MAPIPA ENEO SUGU KWA FOLENI DAR

Magari yakiwa kwenye foleni Magomeni-Mapipa huku kondakta akionekana kuwa bize na simu yake. Huu ndiyo mwonekano wa ‘vurugu’ za foleni eneo hilo.…

 

10 years ago

Vijimambo

WANADMV WAHANI MSIBA NYUMBANI KWA ALLY MIKIDADI MAGOMENI MAPIPA, DAR ES SALAAM

 Kushoto ni Libe Mwang'ombe na Muna (kulia) kutoka DMV wakiwa nyumbani kwa Ally Mikidadi wakitoa pole kwa dada yake Ally anayeitwa Farida walipokua nyumbani kwa wafiwa Magomeni mapipa jijini Dar es Salaam mapema siku ya Alhamisi March 26, 2015. Ally Mikidadi ni Mtanzania anayeishi DMV aliyefiwa na baba yake Tanzania.Muna na Libe wakimpa pole Bi Badria(Mama Mzazi wa Ally Mikidadi)

 

10 years ago

Vijimambo

MTANZANIA WA DMV AHANI MSIBA WA ALLY MIKIDADI MAGOMENI MAPIPA JIJINI DAR ES SALAAM


Alawi (kushoto) akitoa mkono wa pole kwa Bi.Badria(Mama Mzazi wa Ally Mikidadi) siku ya Jumapili March 22, 2015 nyumbani kwa marehemu Magomeni Mapipa jijini Dar Es Salaam, kulia ni Bure mjomba wake Ally Mikidadi na kaka ya Bi. Badria. Ally Mikidadi ni mkazi wa Hyattsville, Maryland nchini Marekani aliyefiwa na baba yake mzazi nchini Tanzania na misba hapa DMV upo 6200 Ager Road, Hyattsville, Maryland. Alawi akipata picha na mjomba BureMazishi ya Marehemu mzee Mikidadi yaliyofanyika siku ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Difender Kuzikwa Leo Magomeni

MCHEKESHAJI Fadhil Said ‘Diffender’ anatarajhia kuzikwa leo katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni, saa kumi alasiri , msani huyo aliyefariki jana baada ya kuumwa na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Taifa Muhimbili.

Akiongea na Bongo Movies.com mkuu wa maafa kitaifa Kafiten amesema kuwa marehemu alilazwa katika Hospitali hiyo akisumbuliwa na maradhi yaliyoshambulia mapafu pamoja na kutapika damu akiwa katika wodi ya Mwaisela.

“Msiba upo nyumbani kwao Kigogo shughuli zote zitafanyika...

 

5 years ago

Michuzi

DC MBONEKO APOKEA MAPIPA 20 YALIYOTOLEWA NA KASHWASA KUKABILIANA NA COVID - 19 SHINYANGA


Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira katika mji wa Kahama na Shinyanga (Kahama Shinyanga Water Supply and Sanitation Authority(KASHWASA) inavyozalisha na kusambaza maji katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania, Mhandisi Joshua Mgeyekwa akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko mapipa 20 yenye ujazo wa lita 210 kila moja kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za serikali katika mapambano dhidi ya Virusi Vya Corona ‘Covid – 19’ kwenye maeneo...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

TIB kuendeleza eneo la Magomeni kota


NA MOHAMMED ISSA
HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, imesema ujenzi wa eneo la Magomeni Kota, unatarajiwa kuanza muda wowote mwaka huu.
Akizungumza na Uhuru jana, Meya wa Manispaa hiyo, Yussuph Mwenda,  alisema eneo hilo litajengwa nyumba za makazi na sehemu za biashara.
Mwenda alisema tayari Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), imeonyesha nia ya kuliendeleza eneo hilo.
Alisema  benki hiyo itashirikiana na kampuni nyingine katika kufanya kazi hiyo. Hata hivyo, alikataa kuitaja...

 

9 years ago

Michuzi

MUZIKI MNENE BANGO SINZA NA MAGOMENI

Bwana E Mr Jimmy Jiam wa EFM akipozi na mshindi wa EFM Muziki Mnene Bango eneo la Sinza, jijini Dar Es Salaam. Mshindi huyo alionekana akiwa anasikiliza 93.7 EFM na pia alikuwa ameweka stika ya EFM kwenye sehemu yake ya kazi. Mshindi mwingine wa EFM Muziki Mnene Bango akiwa na furaha baada ya kukabidhiwa zawadi na bwana E wa EFM. Dada huyo alikuwa ameweka stika ya EFM kwenye sehemu yake ya biashara eneo la Magomeni, jijini Dar Es Salaam.Bwana E Mr Jimmy Jiam akionekana anapozi na kumpa...

 

11 years ago

Habarileo

Walalamikia barabara ya Sinza-Magomeni Morocco

WATUMIAJI wa Barabara ya Sinza hadi Magomeni Morocco kupitia eneo la kwa Mtogole, wameilalamikia Manispaa ya Kinondoni kwa kuchelewesha upanuzi wa barabara hiyo na hivyo kuhatarisha usalama wao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani