Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walalamikia barabara ya Sinza-Magomeni Morocco

WATUMIAJI wa Barabara ya Sinza hadi Magomeni Morocco kupitia eneo la kwa Mtogole, wameilalamikia Manispaa ya Kinondoni kwa kuchelewesha upanuzi wa barabara hiyo na hivyo kuhatarisha usalama wao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MUZIKI MNENE BANGO SINZA NA MAGOMENI

Bwana E Mr Jimmy Jiam wa EFM akipozi na mshindi wa EFM Muziki Mnene Bango eneo la Sinza, jijini Dar Es Salaam. Mshindi huyo alionekana akiwa anasikiliza 93.7 EFM na pia alikuwa ameweka stika ya EFM kwenye sehemu yake ya kazi. Mshindi mwingine wa EFM Muziki Mnene Bango akiwa na furaha baada ya kukabidhiwa zawadi na bwana E wa EFM. Dada huyo alikuwa ameweka stika ya EFM kwenye sehemu yake ya biashara eneo la Magomeni, jijini Dar Es Salaam.Bwana E Mr Jimmy Jiam akionekana anapozi na kumpa...

 

11 years ago

GPL

MVUA ZILIVYOHARIBU BARABARA MWENGE NA MAGOMENI DAR

 Askari wa usalama barabarani akitimiza jukumu lake eneo korofi la shimo linalosababisha misululu Magomeni.
Shimo hili limesababisha magari kupata pancha maeneo ya Mwenge.  
Huu ndiyo muonekano halisi wa namna magari yanavyokwepa shimo hili…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sinza kujengwa barabara za lami

MEYA wa Kinondoni, Yusuph Mwenda, amesema Kata ya Sinza inatarajiwa kuwa na mfumo wa barabara za kiwango cha lami za kisasa zitakazowekwa kutokana na vyanzo vya fedha za ndani na...

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA BARABARA YA MTAA WA LION-SINZA UKIENDELEA

Vifusi vya mchanga ambavyo vimemwagwa kwaajili ya kutengeneza barabara ya mtaa wa Lion Sinza jijini Dar es Salaam.Alama ya barabarani inayoonyesha  vyombo vya usafiri vipite upande wa kulia wakati ujenzi ukiendelea. Mashine inayotumika kushindilia udongo wakati wa kutengeneza barabara.Mafundi wakiendelea na ujenzi wa barabara ya mtaa wa Lion Sinza jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Avila Kakingo,Globu ya Jamii)

 

11 years ago

Habarileo

Barabara ya Kawawa/Morocco kufungwa

KAMPUNI ya Strabag International GmbH inayojenga barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka mjini Dar es Salaam, imetangaza kufunga barabara ya Kawawa/ Morocco kesho na keshokutwa ili kupisha ujenzi.

 

9 years ago

Habarileo

Ujenzi wa barabara ya Mwenge-Morocco waanza

SIKU moja baada ya Rais John Magufuli kuamuru fedha zilizotengwa kwa ajili ya sherehe za Uhuru zikajenge barabara ya Bagamoyo kipande cha kilometa 4.3 cha Mwenge – Morocco, jijini Dar es Salaam, ujenzi huo umeanza jana.

 

9 years ago

Michuzi

UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE- MOROCCO WAANZA

Mafundi wakiendelea na  Upanuzi wa barabara ya Mwenge Morocco jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Hii ni baada ya Rais kuelekeza fedha  za maadhimisho ya siku ya uhuru ya Disemba 9 zitumike katika upanuzi wa barabara hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

Bongo tambarare: Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Morocco road

Hapa ni barabara ya Morocco (sasa Kawawa Road) mitaa ya Kimnondoni. Hivi sasa barabara hii iko katika ujenzi mpya kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka. Na hiyo ngoma unayosikia ni ya Kundi la Sisi Tambala

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani