Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MVUA ZILIVYOHARIBU BARABARA MWENGE NA MAGOMENI DAR

 Askari wa usalama barabarani akitimiza jukumu lake eneo korofi la shimo linalosababisha misululu Magomeni.
Shimo hili limesababisha magari kupata pancha maeneo ya Mwenge.  
Huu ndiyo muonekano halisi wa namna magari yanavyokwepa shimo hili…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

11 years ago

GPL

MVUA YASABABISHA KURUNDIKANA KWA TAKA MWENGE,DAR

Takataka zikiwa zimejaa eneo la mtaro maeneo ya Mwenge. Baadhi ya takataka zilizozagaa katika maeneo kadhaa kwa kusombwa na maji ya mvua.…

 

10 years ago

GPL

MVUA YAFURIKISHA MITARO MAENEO YA BAMAGA-MWENGE, DAR

Maji yakiwa yamejaa katika uelekeo wa kituo cha Sayansi kutokea Bamaga-Mwenge. Basi likipita kwenye maji yaliyofurika. Mkazi wa jiji akikatiza kwenye barabara iliyojaa maji eneo hilo.…

 

10 years ago

GPL

MAJI TAKA, BARABARA MBOVU NI KERO KWA WAKAZI WA MWENGE DAR

Mkazi wa Mwenge akipita kwa kwa taabu katika moja ya barabara za Mwenge ambazo zimejaa maji taka na ambazo ni mbovu. MAJI taka yaliyovamia sehembu mbalimbali na barabara mbovu vimekuwa ni kero kubwa kwa wakazi wa Mwenge jijini Dar es Salaam hasa katika maeneo ya wafanyabiashara ndogondogo.  Matokeo ya adha hiyo ni kupitika kwa taabu sehemu hiyo na harufu mbaya inayotokana na maji hayo hususan kwa watembea kwa miguu....

 

10 years ago

Michuzi

JK AFUNGUA RASMI BARABARA YA MWENGE-TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam. Wananchi wakifurahia hotuba ya  Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

FEDHA ZA 9 DISEMBA ZAANZA UJENZI WA KUPANUA BARABARA MWENGE-MOROCCO JIJINI DAR


Scaveter ikisafisha sehemu ya barabara kuanzia Mwenge hadi Morocco kwaajili ya upanuzi wa barabara mbili zinazojengwa kwa fedha ambazo zilitakiwa kutumika katika kusherekea sherehe za uhuru ambazo hufanyika kila mwaka Disemba 9 ikiwa ni kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli, kazi hiyo imeanza kutekelezwa leo jijini Dar es Salaam.Vijana wakigombania bango ambalo limevunjwa katika upanuzi wa barabara kuanzia Mwenge hadi Morocco leo jijini Dar...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua rasmi Barabara ya Mwenge-Tegeta jijini Dar leo

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam.  Wananchi wakifurahia hotuba ya  Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar...

 

11 years ago

Habarileo

Mvua yakata barabara Dar - Arusha

Gari likijaribu kupita katika sehemu ya barabara iliyofunikwa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha katika kijiji cha Mgagao, wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro jana. (Picha na Mroki Mroki).MVUA kubwa zilizonyesha usiku wa kuamkia jana mkoani Kilimanjaro, zimekata mawasiliano ya barabara kuu ya Dar es Salaam-Arusha na kusababisha magari kukwama kwa saa nane Hedaru wilayani hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani