Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJENZI WA BARABARA YA MTAA WA LION-SINZA UKIENDELEA

Vifusi vya mchanga ambavyo vimemwagwa kwaajili ya kutengeneza barabara ya mtaa wa Lion Sinza jijini Dar es Salaam.Alama ya barabarani inayoonyesha  vyombo vya usafiri vipite upande wa kulia wakati ujenzi ukiendelea. Mashine inayotumika kushindilia udongo wakati wa kutengeneza barabara.Mafundi wakiendelea na ujenzi wa barabara ya mtaa wa Lion Sinza jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Avila Kakingo,Globu ya Jamii)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA BARABARA YA CHUO KIKUU KUTOKEA MBEZI YA KIMARA UKIENDELEA KWA KASI

Pichani juu ni sehemu ya kipande cha barabara ya lami ambacho tayari kimekwisha kamilika,kama kilivyonaswa na Globu ya Jamii wakati ikivinjari katika barabara hiyo jana na kujionea ujenzi huo ukienda kwa kasi,barabara hiyo ambayo imeonekana kuwa na umuhimu mkubwa katika jitihada za kupambana na msongamano wa magari ambao umekuwa kero kubwa kwa wakazi wa jiji la Dar na kwingineko.Barabara hiyo almaarufu kwa jina la barabara ya chuo kikuu ambayo pia unaweza kwenda Goba ama kuchepuka na kutokea...

 

10 years ago

Vijimambo

Uimarishaji Miundombinu ya Barabara za Ndani Zenj Ukiendelea.

Mafundi wa Idara ya Utunzaji wa Baraza Zanzibar wakiweka lami barabara ya muembetanga hadi mtendeni ili kuimarisha barabara hiyo kuiweka katuika kiwango cha lami baada ya lami yake ya zamani kuharibika kwa kuchimbika, Wizara husiku inazifanyika ukarabati wa kuziwekea lami barabara za ndani katika manispa ya Zanzibar kuimarisha miundombinu hiyo kwa Wananchi. Eneo la mtendeni barabara hiyo ikiwa tayari imeshawakwa lami mpya nas kutowa huduma kwa watumiaji wa barabara hiyo Eneo la muembetanga...

 

5 years ago

Michuzi

PICHA MBALI MBALI ZIKIONESHA MAENDELEO YA UJENZI WA SGR UKIENDELEA KWA KASI




Picha tofauti zikionesha maendeleo ya ujenzi wa SGR stesheni tofauti kwa kipande cha Daresalaam-Morogoro na kuonesha kukamilika kwa utandikaji wa nguzo na nyaya za umeme kwa ajili ya uendeshaji wa reli ya kisasa na treni ya umeme.






 

11 years ago

Tanzania Daima

Sinza kujengwa barabara za lami

MEYA wa Kinondoni, Yusuph Mwenda, amesema Kata ya Sinza inatarajiwa kuwa na mfumo wa barabara za kiwango cha lami za kisasa zitakazowekwa kutokana na vyanzo vya fedha za ndani na...

 

11 years ago

Habarileo

Walalamikia barabara ya Sinza-Magomeni Morocco

WATUMIAJI wa Barabara ya Sinza hadi Magomeni Morocco kupitia eneo la kwa Mtogole, wameilalamikia Manispaa ya Kinondoni kwa kuchelewesha upanuzi wa barabara hiyo na hivyo kuhatarisha usalama wao.

 

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA TENGERU-SAKINA (KM 14.1) ITAKAYOJENGWA KWA NJIA NNE MKOANI ARUSHA

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) akisalimiana na baadhi ya wakazi wa Patandi wakati akiwasili kwenye hafla hiyo ya kukagua ujenzi wa barabara ya lami ya Sakina-Tengeru yenye urefu wa km 14.1 itakayojengwa kwa njia nne pamoja na madaraja makubwa mawili. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) akizungumza na wakaazi wa Patandi, Sangis na Tengeru kuhusu ujenzi wa barabara ya lami ya Sakina-Tengeru yenye urefu wa km 14.1 itakayojengwa kwa njia nne pamoja na madaraja makubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani