Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


uonekano wa daraja jipya la Kigamboni, kama ilivyoripotiwa na Bonge kwenye Power Breakfast Clouds Fm leo asubuhi wakati ujenzi ukiendelea.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

sikiliza mapinduzi ya smartwatch (Saa za kidigitali) katika Power Breakfast on Saturday ndani ya Clouds fm leo asubuhi

 #‎DidYouKnow‬: Mpaka nusu ya mwaka 2014 zaidi ya makampuni 400 duniani yaliwekeza kwenye teknolojia ya ‪#‎Smartwatch‬ na nusu ya makampuni hayo yanatokea ‪#‎China‬ na ‪#‎Marekani‬. Kwa nusu mwaka huo zaidi ya saa za kidigitali Mil 3.4 ziliuzwa duniani kote na kutengeneza faida ya zaidi ya Dola Milioni 700. Je,Tanzania imeipokea vipi teknolojia hii.? Kwa hayo na mengine mengi sikiliza uchambuzi yakinifu wa Brown Nyanza ndani ya ‪#‎CloudsFm‬ kesho kuanzia saa moja asubuhi kwenye kipindi cha...

 

10 years ago

CloudsFM

MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA,JOSEPH KUSAGA AKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST KUZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM

Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast leo na Gerald Hando,ambapo kauli mbiu ya sherehe ya mwaka huu ni #TunakufunguliaDunia #KuwaUnachotaka

 

10 years ago

CloudsFM

PICHA:MASOUD KIPANYA NA FINA MANGO WAKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST WAKIZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM

Watangazaji wa zamani wa Clouds FM,Masoud Kipanya na Fina Mango wakizungumzia miaka 15 ya redio ya watu kwenye kipindi cha Power Breakfast wakiwa na mtangazaji wa kipindi hicho,Gerald Hando....PICHA ZAIDI ZINAWAJIA SOON...

 

10 years ago

CloudsFM

PICHA ZAIDI :MASOUD KIPANYA NA FINA MANGO WAKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST WAKIZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM

Masoud Kipanya,Fina Mango wakiwa na Husna Abdul 'Dahuu'.Waziri Njenje aka Babu Njenje naye alikuwepo mjengoni kwenye sherehe za miaka 15 ya Clouds fm.

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA UJENZI KUJENGA DARAJA JIPYA LITAKALOPITA BAHARINI PEMBEZONI MWA DARAJA SELANDER

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa pembezoni mwa daraja Selander kuanzia hospitali ya Aghakan hadi barabara Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo pekee litakuwa na urefu wa km 1.03 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Serikali ya Korea Kusini pamoja na Wizara ya Ujenzi mara baada ya kusaini Mkataba wa Muhtasari wa Majadiliano leo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI DK. MAGUFULI AIFAGILIA NSSF UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ameusifu Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa daraja la Kigamboni.
Ujenzi wa daraja hilo umekamilika kwa asilimia 60 ambapo mpaka sasa NSSF imetoa sh. bilioni 117 kati ya Bilioni 214 zitakazokamilisha ujenzi wa daraja hilo.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, alipotembelea daraja kuona namna ujenzi unavyoendelea, Dk. Magufuli alisema kuwa ujenzi wa daraja hilo umekutana na changamoto nyingi ikiwemo kina kilichokuwa...

 

11 years ago

Michuzi

Taswira ya ujenzi wa daraja la kigamboni

Maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni katika mkondo wa Kurasini (Kurasini Creek) ulioanza mwaka juzi na kutegemewa kukamilika baadaye mwaka huu. Mradi huu wa daraja la kuning'inia, uliobuniwa na kampuni ya Arab Consulting Engineers na kujengwa na wakandarasi kampuni za China Railway Jiangchang Engineering (T) Ltd na China Major Bridge Engineering Company , unamilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)  kwa asilimia 60 na Serikali asilimia 40, kwa gharama ya dola 136 za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani